Zijue namba za magari ya Tanzania! Pamoja na namba maalum za magari ya viongozi, Serikali na Taasisi za Umma kwa ujumla

Zijue namba za magari ya Tanzania! Pamoja na namba maalum za magari ya viongozi, Serikali na Taasisi za Umma kwa ujumla

Hivi ndugu zangu naomba kueleweshwa maana ya kifupi cha maneno haya.
PLATE NAMBA
SU, KJ, JW, MT, DFP, SM, J 1, W ST, KP, STK, STJ, RC, DC, hayo machache tu tusaidiane kujua na kama kuna mengine ongezeeni ili tupate kujulishana. asante ni hayo tu.
su-shirika la umma
jw-jeshi la wananchi
mt-magereza tanzania
dfp-donnors funded projects
sm-serikali za mitaa
j1,2,3,4-jaji
w-waziri
st-a,k,j,l etc-serikali ya tanzania
rc-regional commissioner
dc-district commissioner ingawa haipo hiyo umeitunga maana dc hutumia st`s
hata kp na kj hakuna pia...
 
Asante mtaalamu umetusomesha wengi, je zile zenye plates za kijani zinaanza na MT, CD na zingine zina plates za blue zinaanza na CD
 
Asante mtaalamu umetusomesha wengi, je zile zenye plates za kijani zinaanza na MT, CD na zingine zina plates za blue zinaanza na CD
cd-code/country diplomatic zinatumiwa na ubalozi wa nchi mbalimbali waliopo nchini,na kwa sheria za kimataifa wanaruhusiwa kupaki gari zao popote bila kulipishwa ushuru au kodi yeyote mkuu,hilo nalo wengi hawalielewi,ni sheria za kimataifa...
 
Corps Deplomatique (Diplomatic Corps)

Ahsante mkuu, mara nyingi hua naona

TxxxCDyyy

T nafikiri ni nchi, xxx inaweza kuwa namba ya shirika, mfano unicef ni 210, undp 203, CD kisha yyy namba ya gari.

Sikua najua kabisa CD inamaanisha nini licha ya kuhisi D ina diplomat...
 
Hivi ndugu zangu naomba kueleweshwa maana ya kifupi cha maneno haya.
PLATE NAMBA
SU, KJ, JW, MT, DFP, SM, J 1, W ST, KP, STK, STJ, RC, DC, hayo machache tu tusaidiane kujua na kama kuna mengine ongezeeni ili tupate kujulishana. asante ni hayo tu.
DFP.donor foundation problgram

haya hutorewa kwa msaada wa benk ya dunia chini ya adjustment program

DC..district camishner kma
ni kwa wakuu wa mikoa

RC.Region camishner
kwa wakuu waikoa

SU.shilika na uma
mfano.ttcl,tanesco

SM.ni kwaajil ya halmashaur.ya mji

MT.magereza tanzania

KJ.kikosi cha jesh
 
Kuna kingunge alisema ni Donor Funded Project kumbe alitudanganya
ni Donor.foundation programs saiv znaitwa DFPA donor.founfation program agency.huwa ni.magar ya msaada wa benk.ya dunia under USAID
 
Back
Top Bottom