Zijue nchi 6 ambazo hakuna usiku, jua halizami

Alaska sio kisiwa mkuu.
 
Kwaiyo nikama mbingunitu? Mana tumeambiwa mbinguni Ndo hakuna mchana wala usiku, au Ndo huko?
 
Nimeshindwa kuendelea na mada baada ya mleta mada kusema alaska ni kisiwa....ni wazi hajui anachozungumza kabisa....nadhan kutakuwa na errors nyingi sana uko chini kwenye hoja yake.
 
Denmark: Copenhagen. Nadhani ni kwenye mwezi wa August. Baadhi ya wiki jua huzama saa 4 na nusu usiku na kuchomoza tena saa 10 alfajiri. Giza linakuwa na masaa takriban matano tu, na unalala kwa kuangalia saa ya mkononi na si kwa kuangalia jua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…