Zijue nchi 6 ambazo hakuna usiku, jua halizami

Msimu huo wachawi watakuwa wanapata shida sana maana nasikia wachawi hupenda kuwanga gizani hasa nyakati za usiku mkubwa
 
Hiyo hali ingekuwa huku kuna watu wangefanya kazi hadi wanafia kazini
 
Swali zuri sana.

FaizaFoxy tusaidie ufafanuzi hapa
Kwa zile nchi ambazo hazipati giza kabisa zinatenga masaa ya kufunga, labda wanaamua kufunga masaa kumi na tatu tu, ila zile ambazo zinapata usiku mfupi lazima wafunge kipindi chote chenye jua na wafungue kipindi chote chenye giza, hata kama usiku utakuwa na masaa manne na mchana masaa 20
 
Ahsante kwa muongozo mkuu
 
Back
Top Bottom