Frequencer
New Member
- Jul 16, 2021
- 1
- 5
Ni kweli kuna kipindi cha summer nilienda UK nilishangaa sana hadi usiku wa saa tatu bado kuna Mwanga!!
Wanaangalia sana AM na PMHuku Africa tumezoea kulala usiku.,Je huko saa za kulala na kutanyakazi zikoje
Kwaiyo ni kama usiku yani unajisikis ksbisa uchovu wakusinzia yani
Hii ilinikuta UK pia kipindi cha summer, nikaambiwa “Dinner is ready” kucheki nje bado jua linawaka, pia ilinipa tabu sana kuelewa mzunguko na kuweza kulala usiku
HahahhaahahaaaWale waislamu kwa mwezi wa ramadhani inakuaje?
Haha hahah hahaInamaana huku usiku wa deni hauwai kuingia??
Yes, full kukesha.Kigoma jua linazama saa 2 usiku, huko nako vipi?
Ndio maana sio Islamic countries, huko hata mabaraza ya idd hayapoWale waislamu kwa mwezi wa ramadhani inakuaje?
Linachoma Kama pasiSo wakati unalala jua lilikuwepo
Au alifika Republic of Congo?wahaya bana,daah
Yaani UGALI na NAFAKA kwa ujumla umewaathiri sana watu weusi.HIVI WEWE mjomba unauzarau sana ugali wa maharagwe? kumbuka ndio huo huo umewalea na ukawakuza kabisa shukuru Mungu
Walitakiwa wale burger na pizza wajenge afya.Yaani UGALI na NAFAKA kwa ujumla umewaathiri sana watu weusi.
70-80% ya chakula ni Nafaka tu mchana na usiku. Hili limewaathiri watu weusi kwa kudumaza akili zao na kuondoa uwezo wa kufikiri
Nutrition ina mchango katika kujenga akili
Naanzaje kupata usingiziLinachoma Kama pasi
Kuna wengine mchana hawawezi kulala kabisaMkuu usingizi hauna usiku wala mchana , kwani haujawai kulala mchana au kupiga kazi usiku kucha mpaka asubuhi? Pia kuna nocturnal.