Na hawa weusi wa marekani wamesaidia sana kujenga heshima ya mtu mweusi dunia hii maana wapo wengi tu ambao ni matajiri balaa hasa hao wanamuziki,waigizaji na wanamichezo hivo wanaheshmika kweli.wana tuzo zao kabisa za music BLACK ENTERTAINMENT AWARDS (BET AWARDA) hawa black amerika wapo real
[emoji3][emoji3][emoji3]hahaha mme mwenza una vitukoSawa mwalimu
Ukome. Mi sio mume mwenza[emoji3][emoji3][emoji3]hahaha mme mwenza una vituko
Safi sana...tumepata elimu kubwa sanaUmetaja Suriname nimefurahi. Wale weusi wengi wanaongea Saramancan aina fulani ya Creole ama pidgin. Hawa walikuwa watumwa kutoka Ghana (Elmina). Walipofika Suriname walitorokea msituni wakaunda taifa lao huko. Wadachi waliogopa kuwafuata wamedumu mule hadi ustaarabu ulipokuja na utumwa kutokomezwa ndio wakaanza kuenea. Hata Ecuador nasikia Waafrika toka Congo wengi. Rafiki yangu alishangaa sana kusikia muzikii wa Congo vijijini na katika baadhi ya miji yenye Waafrika wengi Ecuador.
Ni kweli Brazil inaongoza kuwa na watu weusi wasiojivunia uafrika na hawapendi kujitambulisha kama weusi. Pongezi nyingi wapewe weusi wa Marekani hawa pamoja na utumwa na ubaguz ila wamepambana kudai haki zao na kujivunia uafrika wao na wamejenga influence kubwa kupitia sekta ya burudani, michezo,n.k
Kumbe wandugu zetu wa congo wako huko..safi sana tumepata elimu na ufahamu mkubwa sana..hii ndio jf jamvi kuu la kupata ufahamuUmetaja Suriname nimefurahi. Wale weusi wengi wanaongea Saramancan aina fulani ya Creole ama pidgin. Hawa walikuwa watumwa kutoka Ghana (Elmina). Walipofika Suriname walitorokea msituni wakaunda taifa lao huko. Wadachi waliogopa kuwafuata wamedumu mule hadi ustaarabu ulipokuja na utumwa kutokomezwa ndio wakaanza kuenea. Hata Ecuador nasikia Waafrika toka Congo wengi. Rafiki yangu alishangaa sana kusikia muzikii wa Congo vijijini na katika baadhi ya miji yenye Waafrika wengi Ecuador.
Mkuu kuna ukweli katika unayosema. Wanaamini gene ya mtu mweusi imejaa tabia ya uhalifu na kuvunja sheria.Brazil walikuwa zaidi ya million 100 lakini washenzi wazungu wakaleta policy ya whitening kuiondoa rangi nyeusi 1960s. Na Wamefanikiwa kabisa kwasababu machotara ni wengi Na weusi waliobaki hawaoani Sana wenyewe kwa wenyewe Ni nadra Na wanajidharau sana. Pele kazaa Na mweupe watoto wake machotara.
Yani tayari wameshawapandikizia mbegu akilini kuchukia uweusi wengi wameintermarry Na natives. Upande wa Kaskazini Ni weupe wengi kusini weusi wengi.
Huko Argentina balaa wamefanikiwa kutokomeza uweusi kabisa.
Weupe wengi was Brazil Ni asili ya Ujerumani, ureno, italia Na ufaransa. Fikiria kutoka million 100 Hadi 55.
Ila kinachonifariji ni baadhi ya hao weusi mabantu wanatrace their origins kutoka Yoruba Nigeria Na wanafuata Mila za mababu zao.
Sasa Muambie Ronaldo de lima wee Ni mweusi anaweza kukutandika wakati babu zake Ni manigger
Pia Cuba hivyohivyo wanaitwa milato
Mkuu kuna ukweli katika unayosema. Wanaamini gene ya mtu mwendo imejaa tabia ya uhalifu na kuvunja sheria.
Ni moja ya sababu za kukubali mwanyavwa migrants kutoka Africa kwenda Europe. Zamani wa Africa walifanya kazi ambazo wazungu hawakuzipenda lakini sikuhizi wanaona bora wa easterners wazifanye.
Sawa mkuumkuu hiki kialama cha kiulizo hakikutakiwa kiwepo hapo
Mkuu Bufa, nimevutiwa mno na bandiko lako. Bravo! Hao jamaa ni nini kinawamaliza? Au ni mkakati wa jamii ya rangi nyingine?