Zijue nchi zenye waafrika wengi zaidi nje ya Afrika

Zijue nchi zenye waafrika wengi zaidi nje ya Afrika

Sio waafrika mkuu. Ni watu weusi. Hao jamaa sio waafrika. Ndio manna huitwa kutokana na nchi wanazotoka. Kwa mfano Waamerika weusi.
 
Sio waafrika mkuu. Ni watu weusi. Hao jamaa sio waafrika. Ndio manna huitwa kutokana na nchi wanazotoka. Kwa mfano Waamerika weusi.
Tunawaita waafrika kwa vile wameondoka africa karne chache zilizopita wakati jina la Africa likiwa limeshaanza kutumika.
 
Na hawa weusi wa marekani wamesaidia sana kujenga heshima ya mtu mweusi dunia hii maana wapo wengi tu ambao ni matajiri balaa hasa hao wanamuziki,waigizaji na wanamichezo hivo wanaheshmika kweli.

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Cc: barak obama....cjui proud ya obama ikoje. Anajinasibisha km yy ni mwafrica kweli?
 
Hao ni watu weusi tu ila sio waafrica na Kama Kuna kitu hawapendi kusikia au kuhusishwa nacho ni uafrika.

Sijapata ona watu wanaochukia kuitwa waafrica kama weusi wa Caribbean. Wapo brain washed Hadi unawaonea huruma. Visiwa karibu vyote vya Carribbean ni choka mbaya kuliko nchi nyingi tu za Africa, ila for some reason huwa wanajiona bora, matajiri na wapo juu, kumbe na sisi tunawaangalia kwa jicho la huruma. Nchi kama Haiti hata kabla ya earthquake ya 2010 ilikua hovyo kuliko Malawi let alone TZ na baada ya earthquake ndo haifai kabisa.

Kama mdau mmoja alivyosema, Hawa jamaa, Kama weusi wengine wote (Including waafrica) ndoto yao ni kuzaa na wazungu ili vizazi vyao viondokane kabisa na huu weusi. Mweusi popote pale alipo anaamini yeye bado si mtu kamili hadi ajinasabishe na uzungu. Smdh

Kwa kuongezea tu, kuna weusi wapo visiwa vya Papua New Guinea na Andaman huko India (Andamanese people), tofauti na weusi kwingine kote nje ya Africa, hawa wao walienda huko wenyewe zaidi ya miaka 6000 iliyopita na bado si civilised Hadi leo. Walikua huko miaka mingi hata kabla ya utumwa. Andamanese remains uncontacted to date. Hata picha zao zinachukuliwa kwa ndege tu toka mbali, ukiwakaribia unakula mishale, idadi yao inapungua kwa Kasi ya ajabu Soon wanaweza kutoweka kabisa.

Andamanese - Wikipedia
Sio kweli sio kila mtu mweusi anatamani kuzaa na mzungu...!

Mimi sijawahi kutamani kitu kama hicho
 
Sio kweli sio kila mtu mweusi anatamani kuzaa na mzungu...!

Mimi sijawahi kutamani kitu kama hicho

Comment #49 nilielezea hili. Simaanishi wote ila walio wengi, kati ya waafrica 10 9 wanatamani. Wewe ni mmoja kati ya 10. Weusi wengi wanaamini wakioa/kuolewa na mzungu wame-upgrade ilhali wao wakioa mtu mwingine nje ya race zao wamedowngrade.
 
Mkuu Bufa,hawa wa kwenye msitu wa amazon si ndio red indians ama mayan ambao inasemekana kizazi chao kilipotea ingawa kabla idadi yao iliwahi kufikia hadi 13000.

Ndo hao mkuu, walipoanza ku-exploit ule msitu yani makazi yao jamaa wakaisha vibaya.
 
Ila cha kushangaza hao black american hawapendi kabisa kuitwa waafrika. Na pia ni rahis mno kwa mtu kutoka afrika kuwa na urafiki na whites kuliko hao black american.

Watu weusi kweli tunalaana. Yaan wao huko kwao ukienda wanatutenga na kutuona sie ni kama tunawaaibisha.

Wakati sie huku tunawapenda na kuwasupport. Shenzy kabisa hao black americans
Sasa unataka wakubali kuwa ni waafrika wakati sio kweli...

Sasa ww umeenda huko alafu unawashobokea wa nini? Si ufanye mishe zako tu
 
Halafu hizo nchi za Caribbean zenye weusi wengi kuliko wrupe ndio masikini sana na ushirikina umejaa huko.

Hao jamaa unakuta wana umasikini hata Afrika nafuu.

Hapo ndio unagundua kuwa watu weusi ni matatizo tupu.
Na wewe unaongelea ushabiki sasa, si ufuatilie takwimu??
 
Kipindi cha back to Africa movement led by Marcus Gurvey ,,wengi wa Black people hawakuwa willing kurudi nyumbani. May be inaweza kuwa chanzo cha ngozi nyeusi kutokujikubali wao na mazingira yao na kuona mazingira ya Ulaya ndio mazuri zaidi.
'May be inaweza' ndo kiswanglish gani? Mjifunze tofauti ya maybe na may be. Na take a note dude, unapopenda kutumia kiswanglish lazima ujue vema kupangilia hizo lugha mbili ili usije kuonekana idiot mbele ya waliokuzidi maarifa na ujuzi.
 
Interesting. Ila nchi ninayoikubali ni Haiti. Hawa jamaa walipinga utumwa na kupigana vita na wafaransa hadi wakawashinda na kuwa taifa huru la watu weusi.

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Baadaye wakaanza kula rushwa na kufanya ngono na sasa ni nchi shitihole kabisa. Wako kisiwa kimoja na Dominika. Ila wenzao wanamaisha mazuri ajabu.
 
Falsafa yangu inaamini ukizaliwa mtu muafrika tayari hiyo ni changamoto ya kwanza uko nayo (katika mtazamo wa mizania ya kidunia) kabla ya changamoto nyingine yoyote ile. Tafakari chukua hatua!
 
Ndo hao mkuu, walipoanza ku-exploit ule msitu yani makazi yao jamaa wakaisha vibaya.
Pia hizi jamii ambazo hazijachangamana na watu huwa hazina immunity ya magonjwa kama smallpox etc. sasa wakichangamana tu basi wanaisha vibaya kwa kuambukizwa na wageni. Ndiyo maana UN na baadhi ya nchi hukataza watu hao kuingiliwa.
 
Habarini wakuu. Leo ningependa tuone nchi zenye watu wenye asili ya Afrika wengi nje ya afrika katika mitazamo miwili.

Kwa uwingi pekee
Hapa namaanisha idadi yao jumla katika nchi husika hata kama wao sio waliowengi dhidi ya jamii zingine.
Nchi hizo ni zifuatazo:
  1. Brazil 55,900,000
  2. United States 46,350,467
  3. Haiti 8,788,439
  4. Dominican Republic 7,985,991
  5. Colombia 4,944,400
  6. France 3,800,000
  7. Jamaica 2,731,419
  8. United Kingdom 2,497,373
  9. Mexico 1,400,000
  10. Cuba 1,126,894
Kwa uwingi (majority) dhidi ya watu wa jamii zingine
Hapa tutaona nchi ambazo watu wenye asili ya afrika ndo wanaongoza kwa uwingi dhidi ya watu wa jamii zingine.
  1. Saint Kitts and Nevis 98%
  2. Jamaica 97%
  3. Dominica 96%
  4. Haiti 95%
  5. Antigua and Barbuda 95%
  6. Grenada 91%
  7. Turks and Caicos islands 90%
  8. Barbados 90%
  9. The Bahamas 85%, Netherlands Antilles 85%, Saint Vincent and the Grenadines 85%
  10. Dominican Republic 84%
Nchi nyingi hapo juu zipo eneo la Caribbean. Kiffupi eneo hilo limekua kama Afrika mpya. Hivo wandugu hio ndo familia ya waafrika wanaopatikana pande mbalimbali za dunia, hapa takwimu zikiangalia zaidi maeneo walipo wengi zaidi japo utawakuta maeneo mengi tu ya dunia hii kama watu wengine.
Kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2010 Brazil, blacks & mixed race (chotara wa kiafrika) walikuwa 97milion.

Brazil census shows African-Brazilians in the majority for the first time
 
Kuna wanaoamini mwonekano wetu ni mbaya. Wengine ni wivu tu kwasababu ya vipaji vyetu na mwonekano wetu pia. Kingine ni tabia zetu za uharibifu na uhalifu.
All in all ukijitambua na kujikubali na kujua thamani yako na nguvu yako hakuna wa kukutisha dunia hii. Never!!!
wivu kutokana na
vipaj vetu
sasa tunavipaji gani?
 
Back
Top Bottom