Zijue nchi zenye waafrika wengi zaidi nje ya Afrika

Zijue nchi zenye waafrika wengi zaidi nje ya Afrika

Mkuu, kikubwa ni magonjwa na maradhi mengine yanayowakumba pamoja na eneo lao kuwa limited kwa shughuli zingine za ku-survive. Wapo kisiwani hivyo wapo limited sana, hawawezi kuwinda, kulima au kupata kingine chochote kilicho nje ya kisiwa chao.

Kuna wanasayansi walitaka kujaribu kupata blood samples zao kwaajili ya uchunguzi zaidi wakiamini zinaweza kuwa na kinga dhidi ya maradhi au substance nyingine yeyote inayoweza kuwa na faida kwetu wakiamini damu za Andamanese sio contaminated kama za watu wengine.

Kwasababu hawataki kukabiriwa na jamii toka nje, UN wameweka katazo la kimataifa la kuwaingilia yani waachwe waendelee kuishi kama walivyo hata kama pingamizi hili linamaanisha kutoweka kwao.
aiseee sasa kizazi chao kikitoweka hao UN watanufaika na nanini !? kweli watu weusi tunachukiwa mnoo
 
Shida mademu wakiafrika ni vizinga na kutudharau sana sisi wanaume wa kiafrika
hahaaa njaa mkuu ..shida zimetamalaki mnoo Africa so usiwalaumu mnoo kuna ambapo tumekosea kuishi kimaadili kama taifa ..hili halipaswi kutazamwa kwa macho yakawaida
 
mfano mzuri Haiti ambao wore Ni weusi.

Haiti inashare the same island Na Dominican republic. Katikati Ni mpaka. Lakini upande huo mwengine was nchi ya Dominican republic wanamaendeleo Sana japo Kuna weusi lakini wengi Ni Latinos Na whites. Waafrika wameintermarry Sana.

Fikiria mpo wote kisiwa kimoja ila nchi tofauti. Lakini Haiti kuna umaskini wa kutupwa.

2010 jumuia ya kimataifa iliawasamehe madeni yote. Lakini wakakopa Tena hayati Hugo Chavez aliwapiga jeki 2 billion dollars lakin Hadi leo hawajaweza kulipwa.

Ni waafrika ambao wanahitaji help they are weak physical and mentally.

Japo wanawLaumu wafaransa ndio wamewasababishia haya yote.

Wanadini Yao ya asili imechanganyikana Na ukristo Voodoo Yani full ushirikina. Wanapigana juju ya hatari wenyewe kea wenyewe.
View attachment 681288 View attachment 681288 View attachment 681289 View attachment 681289
Kwa maisha hayo sioni kosa la Trump.
 
Habarini wakuu. Leo ningependa tuone nchi zenye watu wenye asili ya Afrika wengi nje ya afrika katika mitazamo miwili.

Kwa uwingi pekee
Hapa namaanisha idadi yao jumla katika nchi husika hata kama wao sio waliowengi dhidi ya jamii zingine.
Nchi hizo ni zifuatazo:
  1. Brazil 55,900,000
  2. United States 46,350,467
  3. Haiti 8,788,439
  4. Dominican Republic 7,985,991
  5. Colombia 4,944,400
  6. France 3,800,000
  7. Jamaica 2,731,419
  8. United Kingdom 2,497,373
  9. Mexico 1,400,000
  10. Cuba 1,126,894
Kwa uwingi (majority) dhidi ya watu wa jamii zingine
Hapa tutaona nchi ambazo watu wenye asili ya afrika ndo wanaongoza kwa uwingi dhidi ya watu wa jamii zingine.
  1. Saint Kitts and Nevis 98%
  2. Jamaica 97%
  3. Dominica 96%
  4. Haiti 95%
  5. Antigua and Barbuda 95%
  6. Grenada 91%
  7. Turks and Caicos islands 90%
  8. Barbados 90%
  9. The Bahamas 85%, Netherlands Antilles 85%, Saint Vincent and the Grenadines 85%
  10. Dominican Republic 84%
Nchi nyingi hapo juu zipo eneo la Caribbean. Kiffupi eneo hilo limekua kama Afrika mpya. Hivo wandugu hio ndo familia ya waafrika wanaopatikana pande mbalimbali za dunia, hapa takwimu zikiangalia zaidi maeneo walipo wengi zaidi japo utawakuta maeneo mengi tu ya dunia hii kama watu wengine.
Hao walipelekwa wakati wa biashara ya utumwa mamia ya miaka iliyopita na siyo waafrika ni watu wa hizo nchi, kitu kingine usipende kuwaita watu wote weusi kuwa ni Waafrika
 
Brazil walikuwa zaidi ya million 100 lakini washenzi wazungu wakaleta policy ya whitening kuiondoa rangi nyeusi 1960s. Na Wamefanikiwa kabisa kwasababu machotara ni wengi Na weusi waliobaki hawaoani Sana wenyewe kwa wenyewe Ni nadra Na wanajidharau sana. Pele kazaa Na mweupe watoto wake machotara.

Yani tayari wameshawapandikizia mbegu akilini kuchukia uweusi wengi wameintermarry Na natives. Upande wa Kaskazini Ni weupe wengi kusini weusi wengi.
Huko Argentina balaa wamefanikiwa kutokomeza uweusi kabisa.

Weupe wengi was Brazil Ni asili ya Ujerumani, ureno, italia Na ufaransa. Fikiria kutoka million 100 Hadi 55.

Ila kinachonifariji ni baadhi ya hao weusi mabantu wanatrace their origins kutoka Yoruba Nigeria Na wanafuata Mila za mababu zao.

Sasa Muambie Ronaldo de lima wee Ni mweusi anaweza kukutandika wakati babu zake Ni manigger

Pia Cuba hivyohivyo wanaitwa milato
Brazili inamchanganyiko wa maraifa 11 mengine ni kama Italy, Spain, Japan, China, nk
 
Asikidanganye mtu, hao weusi wa marekani kwa kiasi fulani wanachukia sana kuhusishwa na bara la Africa. Ni kweli wapo very proud kuwa black. Wanaprefer kujiita blacks kuliko african americans. Halafu huwa wanabagua waafrika wanaoishi US.
Siyo kuwa wanabagua wao wamelelewa katika misingi ya kibepari we unapeleka ujamaa wako hauna nafasi kule
 
Hao ni watu weusi tu ila sio waafrica na Kama Kuna kitu hawapendi kusikia au kuhusishwa nacho ni uafrika.

Sijapata ona watu wanaochukia kuitwa waafrica kama weusi wa Caribbean. Wapo brain washed Hadi unawaonea huruma. Visiwa karibu vyote vya Carribbean ni choka mbaya kuliko nchi nyingi tu za Africa, ila for some reason huwa wanajiona bora, matajiri na wapo juu, kumbe na sisi tunawaangalia kwa jicho la huruma. Nchi kama Haiti hata kabla ya earthquake ya 2010 ilikua hovyo kuliko Malawi let alone TZ na baada ya earthquake ndo haifai kabisa.

Kama mdau mmoja alivyosema, Hawa jamaa, Kama weusi wengine wote (Including waafrica) ndoto yao ni kuzaa na wazungu ili vizazi vyao viondokane kabisa na huu weusi. Mweusi popote pale alipo anaamini yeye bado si mtu kamili hadi ajinasabishe na uzungu. Smdh

Kwa kuongezea tu, kuna weusi wapo visiwa vya Papua New Guinea na Andaman huko India (Andamanese people), tofauti na weusi kwingine kote nje ya Africa, hawa wao walienda huko wenyewe zaidi ya miaka 6000 iliyopita na bado si civilised Hadi leo. Walikua huko miaka mingi hata kabla ya utumwa. Andamanese remains uncontacted to date. Hata picha zao zinachukuliwa kwa ndege tu toka mbali, ukiwakaribia unakula mishale, idadi yao inapungua kwa Kasi ya ajabu Soon wanaweza kutoweka kabisa.

Andamanese - Wikipedia
Wewe na wengine ndo mnakosea kuwaita Wao siyo Waafrika Bali ni weusi hivi wewe mtu akikuita Meuropean au Masia utamkubalia? Hata kama babu zako wanaasili ya huko?
 
Wewe na wengine ndo mnakosea kuwaita Wao siyo Waafrika Bali ni weusi hivi wewe mtu akikuita Meuropean au Masia utamkubalia? Hata kama babu zako wanaasili ya huko?
Hakuna sehemu niliyowaita waafrica sijui umenisoma wapi. Mstari wa kwanza wa paragraph uliyoninukuu nimesema "Hao ni watu weusi Basi sio waafrika"
 
Vipi kuhusu masuala ya elimu na teknolojia ya hawa waafrika wenzetu nje ya Africa. Naomba wenye kujuan vzuri suala la elimu yao watujuze hapa. Niliwahi kwenda Brazil na kuona huo ukweli kwamba ndiyo nchi yenye weusi wengi nje ya Africa i.e. ni nchi ya pili kuwa na weusi wengi baada ya Nigeria. Cha ajabu nilichoona ni kwamba weusi wamebaguliwa sana katika mfumo wao wa elimu kiasi kwamba ukiwa restaurant pale Rio, Brasilia utaona wahudumu wote ni weupe lakini ukipata mwanya wa kuangalia kule jikoni kwenye kazi ya sulba wote weusi. Ukienda benki humwoni mweusi. Subiri uende Copacabana jioni, wanaohangaika na mipira hadi ya mchangani ni weusi. Kwenye vyombo vya usalama utashangaa police wengi wa vyeo vya chini mitaani wanaotakiwa kupambana na magenge ya wahalifu hasa ya cocaine yaliyoenea kwenye 'Favelas" ( manzese za huko) ni weusi. Wale weipe wanakaa ofisini na tai zao kusubiri taarifa za matukio. Katika kiwanda cha kutengeneza ndege weusi hawaonekani kabisa.....orodha ni ndefu.
 
Kuwalinda ni kuwaacha waishi Kama walivyozoea si kuwaingilia. Wakiingiliwa ndo watapotea mara moja, kama wameishi millennia kadhaa bila kuingiliwa Basi wataendelea kuwepo hata kwa uchache au wataamua kujichanganya na wengine

Kulikua na tribe kwenye misitu ya Amazon ndani mahala ambapo sio rahisi hata kudhani binadamu anaweza kuwa huko nao walikua hawajapata kuonana na jamii ya nje, mazingira yao yalipoingiliwa tu wakapukutika

Mkuu Bufa,hawa wa kwenye msitu wa amazon si ndio red indians ama mayan ambao inasemekana kizazi chao kilipotea ingawa kabla idadi yao iliwahi kufikia hadi 13000.
 
Vipi kuhusu masuala ya elimu na teknolojia ya hawa waafrika wenzetu nje ya Africa. Naomba wenye kujuan vzuri suala la elimu yao watujuze hapa. Niliwahi kwenda Brazil na kuona huo ukweli kwamba ndiyo nchi yenye weusi wengi nje ya Africa i.e. ni nchi ya pili kuwa na weusi wengi baada ya Nigeria. Cha ajabu nilichoona ni kwamba weusi wamebaguliwa sana katika mfumo wao wa elimu kiasi kwamba ukiwa restaurant pale Rio, Brasilia utaona wahudumu wote ni weupe lakini ukipata mwanya wa kuangalia kule jikoni kwenye kazi ya sulba wote weusi. Ukienda benki humwoni mweusi. Subiri uende Copacabana jioni, wanaohangaika na mipira hadi ya mchangani ni weusi. Kwenye vyombo vya usalama utashangaa police wengi wa vyeo vya chini mitaani wanaotakiwa kupambana na magenge ya wahalifu hasa ya cocaine yaliyoenea kwenye 'Favelas" ( manzese za huko) ni weusi. Wale weipe wanakaa ofisini na tai zao kusubiri taarifa za matukio. Katika kiwanda cha kutengeneza ndege weusi hawaonekani kabisa.....orodha ni ndefu.
Hali ya Brazil inasikitisha ila pia ni kwavile walichelewa sana kuacha utumwa. Ndio nchi ya mwisho kusitisha utumwa katika ukanda wa magharibi. Hii imewafanya watu weusi kuachwa nyuma sana hadi kuzaa hali waliyonayo leo.

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Brazili inamchanganyiko wa maraifa 11 mengine ni kama Italy, Spain, Japan, China, nk
huko SAHIHI kabisa. Mfano mzuri waliokuwa makocha was time ya Taifa Brazil Scolari anatrace asili yake Italy Na dunga anatrace asili yake Ujerumani
 
Kumbe wazungu wanaweza kumaliza kizazi cheusi kupitia intermarriage sasa tabu yanini? Wangekuja tuu wakazaa na sisi OVER!!!? KULIKO kutuletea Maebola na HIV yasiyo na mpango
 
Asikidanganye mtu, hao weusi wa marekani kwa kiasi fulani wanachukia sana kuhusishwa na bara la Africa. Ni kweli wapo very proud kuwa black. Wanaprefer kujiita blacks kuliko african americans. Halafu huwa wanabagua waafrika wanaoishi US.

Mkuu kwa Asilimia chache sana nakubaliana na wewe
 
Nikiwa Brazil Miaka ya 1940 kabla sijahamia Ufaransa Watu wenye Ngozi Nyeusi walikuwa wakipatikana zaidi ya asilimia 80 ya mitaa yote, kwa sasa nashangaa kuona idadi ikipungua kwa kasi.
 
Mimi nilidhani unazungumzia nchi za kiafrika zinazoongoza kwa kuwa na watu wengi nje ya nchi zao !
 
Back
Top Bottom