Zijue nchi zenye waafrika wengi zaidi nje ya Afrika

Sio waafrika mkuu. Ni watu weusi. Hao jamaa sio waafrika. Ndio manna huitwa kutokana na nchi wanazotoka. Kwa mfano Waamerika weusi.
 
Sio waafrika mkuu. Ni watu weusi. Hao jamaa sio waafrika. Ndio manna huitwa kutokana na nchi wanazotoka. Kwa mfano Waamerika weusi.
Tunawaita waafrika kwa vile wameondoka africa karne chache zilizopita wakati jina la Africa likiwa limeshaanza kutumika.
 
Na hawa weusi wa marekani wamesaidia sana kujenga heshima ya mtu mweusi dunia hii maana wapo wengi tu ambao ni matajiri balaa hasa hao wanamuziki,waigizaji na wanamichezo hivo wanaheshmika kweli.

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Cc: barak obama....cjui proud ya obama ikoje. Anajinasibisha km yy ni mwafrica kweli?
 
Sio kweli sio kila mtu mweusi anatamani kuzaa na mzungu...!

Mimi sijawahi kutamani kitu kama hicho
 
Sio kweli sio kila mtu mweusi anatamani kuzaa na mzungu...!

Mimi sijawahi kutamani kitu kama hicho

Comment #49 nilielezea hili. Simaanishi wote ila walio wengi, kati ya waafrica 10 9 wanatamani. Wewe ni mmoja kati ya 10. Weusi wengi wanaamini wakioa/kuolewa na mzungu wame-upgrade ilhali wao wakioa mtu mwingine nje ya race zao wamedowngrade.
 
Mkuu Bufa,hawa wa kwenye msitu wa amazon si ndio red indians ama mayan ambao inasemekana kizazi chao kilipotea ingawa kabla idadi yao iliwahi kufikia hadi 13000.

Ndo hao mkuu, walipoanza ku-exploit ule msitu yani makazi yao jamaa wakaisha vibaya.
 
Sasa unataka wakubali kuwa ni waafrika wakati sio kweli...

Sasa ww umeenda huko alafu unawashobokea wa nini? Si ufanye mishe zako tu
 
Cc: barak obama....cjui proud ya obama ikoje. Anajinasibisha km yy ni mwafrica kweli?
Obama anajitambua yupo vizuri. Hadi kijijini kwao ashaendaga.
 
Halafu hizo nchi za Caribbean zenye weusi wengi kuliko wrupe ndio masikini sana na ushirikina umejaa huko.

Hao jamaa unakuta wana umasikini hata Afrika nafuu.

Hapo ndio unagundua kuwa watu weusi ni matatizo tupu.
Na wewe unaongelea ushabiki sasa, si ufuatilie takwimu??
 
Kipindi cha back to Africa movement led by Marcus Gurvey ,,wengi wa Black people hawakuwa willing kurudi nyumbani. May be inaweza kuwa chanzo cha ngozi nyeusi kutokujikubali wao na mazingira yao na kuona mazingira ya Ulaya ndio mazuri zaidi.
'May be inaweza' ndo kiswanglish gani? Mjifunze tofauti ya maybe na may be. Na take a note dude, unapopenda kutumia kiswanglish lazima ujue vema kupangilia hizo lugha mbili ili usije kuonekana idiot mbele ya waliokuzidi maarifa na ujuzi.
 
Interesting. Ila nchi ninayoikubali ni Haiti. Hawa jamaa walipinga utumwa na kupigana vita na wafaransa hadi wakawashinda na kuwa taifa huru la watu weusi.

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Baadaye wakaanza kula rushwa na kufanya ngono na sasa ni nchi shitihole kabisa. Wako kisiwa kimoja na Dominika. Ila wenzao wanamaisha mazuri ajabu.
 
Falsafa yangu inaamini ukizaliwa mtu muafrika tayari hiyo ni changamoto ya kwanza uko nayo (katika mtazamo wa mizania ya kidunia) kabla ya changamoto nyingine yoyote ile. Tafakari chukua hatua!
 
Ndo hao mkuu, walipoanza ku-exploit ule msitu yani makazi yao jamaa wakaisha vibaya.
Pia hizi jamii ambazo hazijachangamana na watu huwa hazina immunity ya magonjwa kama smallpox etc. sasa wakichangamana tu basi wanaisha vibaya kwa kuambukizwa na wageni. Ndiyo maana UN na baadhi ya nchi hukataza watu hao kuingiliwa.
 
Kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2010 Brazil, blacks & mixed race (chotara wa kiafrika) walikuwa 97milion.

Brazil census shows African-Brazilians in the majority for the first time
 
wivu kutokana na
vipaj vetu
sasa tunavipaji gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…