Zijue Nyimbo zilizotengenezwa na producer Miika Mwamba

Zijue Nyimbo zilizotengenezwa na producer Miika Mwamba

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,424
Reaction score
4,954
Huyu mzungu ni kati ya maproducer bora kabisa waliowahi kutokea bongo fleva, zijue ngoma alizotengeneza:

1. Twenzetu - Chegge
2. Salome- Dully sykes
3. Mabinti wa Kitanga- Bwana Misosi
4. Barua - Daz Nundaz
5. Dingi na Taswira - Mandojo Domo Kaya
6. Wange na Baby gal - Mad Ice
7. Fagio la chuma - Fagio la Chuma
8. etc

Embu tajeni ngoma nyingine mnazokumbuka tumuenzi jembe letu kutoka finland. Na sasa kaacha muziki ni mkalimani.
 
mikaa.jpg
 
Mika Mwamba ni namba nyingine,halafu alikuwa anafanya kazi na watu tofauti tofauti sana kwenye industry.
Muungu alivyotuumba anatufaham yy tu! Cjui ni kwanini mwanadam anayeweza au kukifaham kitu chochote vizur huwa yupo simple sana na huwa anawaheshim watu wote.Mcheck jamaa alikuwa mkali sana but he is so simple in appearance with high intellectual ability

Kumbe ndo huyu

Chura bin Zigo kwanza mengine baadaye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli mkuu, huyu "muwekezaji" alikuwa simple maana "wawekezaji " wengine ni wabaguzi ajabu

Chura bin Zigo kwanza mengine baadaye
 
Back
Top Bottom