elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,733
Niaje hatupatani - mandojo & domokaya
Manoko noko - mandojo & domokaya
Elimi mtaani.com
Manoko noko - mandojo & domokaya
Elimi mtaani.com
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pita pembeni dogo.... watu wanazungumzia maproducer wa vizazi vyao..... hao unaowataja hapo hata walikuwa hawajazaliwaproducer Bora bongo ni WCB laizer na tudd thomas sababu wasanii wao wanabeba ma award duniani kila siku.....
Elimu mtaani ya D knob...D knob ndo alitokea huku unajuaHuyu mzungu ni kati ya maproducer bora kabisa waliowahi kutokea bongo fleva, zijue ngoma alizotengeneza,
1. Twenzetu - chegge
2.Salome- Dully sykes
3.Mabinti wa kitanga- Bwana misos
4.Barua - Daz nundaz
5.Dingi na Taswira - Mandojo domkaya
6.Wange na Baby gal - Mad ice
7.Fagio la chuma - Fagio la chuma
8.etc
Embu tajeni ngoma nyingine mnazokumbuka tumuenzi jembe letu kutoka finland. Na sasa kaacha muziki ni mkalimani
umezingua manproducer Bora bongo ni WCB laizer na tudd thomas sababu wasanii wao wanabeba ma award duniani kila siku.....
Me ndio nilishika lile bango la kwenye video ya elimu mitaani nilivaa uniform zangu za Azania mwaka 2003, bila shaka wale wa Azania class ya 2004 olev au wale wa Mara boys advance class ya 2007 wananijua vizuri.Kipindi hicho chama lipo kali sana,Mitaani Most Wanted.Elimu mtaani ya D knob...D knob ndo alitokea huku unajua
wee mkaliMe ndio nilishika lile bango la kwenye video ya elimu mitaani nilivaa uniform zangu za Azania mwaka 2003, bila shaka wale wa Azania class ya 2004 olev au wale wa Mara boys advance class ya 2007 wananijua vizuri.Kipindi hicho chama lipo kali sana,Mitaani Most Wanted.
Kuna nyima ya dudu baya pia aliproduce ile nakupenda mpenzi usiepanda chapaa sjui