Zijue Nyimbo zilizotengenezwa na producer Miika Mwamba

Zijue Nyimbo zilizotengenezwa na producer Miika Mwamba

Miika Mwamba alikuwa anatengeneza nyimbo hata nje ya Bongofleva. Nyimbo nyingi za dansi za 2000-2004 zilizotengenezwa FM STUDIOS kama vile Tunda ya Wanatamtam, Chuki Binafsi , Ukubwa jiwe, Aminata za Twanga Pepeta na nyingine nyiiiingi zilikuwa na mkono wa Miika.
Alitwaa tuzo ya Producer bora kwenye Kili Awards za mwaka 2001
 
mikaa.jpg
miaka yote sikuwahi kujuaga sura ya huyu mtu!
 
Me ndio nilishika lile bango la kwenye video ya elimu mitaani nilivaa uniform zangu za Azania mwaka 2003, bila shaka wale wa Azania class ya 2004 olev au wale wa Mara boys advance class ya 2007 wananijua vizuri.Kipindi hicho chama lipo kali sana,Mitaani Most Wanted.

Najua elimu dot kuna kipande kimerekodiwa pale opposite na airport kwa mwalimu kaneno sasa hivi pamebolewa karibu na Amadori. Kipindi wakina d knob wanafanya talent search pale jumbo club airport. Miaka imeenda msalimie Dr hi
 
Kamanda ya daz nundaz Charles Hilary alikua anaikubali halafu anasema vijana wameandika wimbo mkali tatizo neno kamanda tu . Kipindi nyimbo zipo kwenye peak
 
Najua elimu dot kuna kipande kimerekodiwa pale opposite na airport kwa mwalimu kaneno sasa hivi pamebolewa karibu na Amadori. Kipindi wakina d knob wanafanya talent search pale jumbo club airport. Miaka imeenda msalimie Dr hi
Dah nimekulia mtaa huo huo miaka yote mpaka sasa,nadhani wewe nakujua,utakuwa dickson chilalile aiseee.Long sana mkuu
 
muwe mnaweka na nyimbo zenyewe humu, ili we rahisi kusikiliza au tupia link....
 
Back
Top Bottom