Zijue Nyimbo zilizotengenezwa na producer Miika Mwamba

Zijue Nyimbo zilizotengenezwa na producer Miika Mwamba

Hivi yule jamaa alokuwaga anaimba na binti wa kihindi HV alikuwa anaitwa scanna anisaidie link au ule wimbo pamoja na wa Beatrice by zahir zorro
 
Chidi benz ft mzee yusuf - Raha za dunia.hivi huyu jamaa anatumia jina gani kwenye social media?.

Alafu kuna mhindi alikuwa anaitwa Amit Mental alietengeneza nyimbo ya Noorah - vijimambo sjui yuko wapi huyu jamaa,kuna mwenye habari zake?
Alitengeneza pia vituko uswahilini ya suma g
 
Chidi benz ft mzee yusuf - Raha za dunia.hivi huyu jamaa anatumia jina gani kwenye social media?.

Alafu kuna mhindi alikuwa anaitwa Amit Mental alietengeneza nyimbo ya Noorah - vijimambo sjui yuko wapi huyu jamaa,kuna mwenye habari zake?
umenikumbusha mbali mkuu, huyu producer Amit Mental alikuwa anaishi nje, akaja akafungua studio yake Bongo, studio yake ilitwa 'Poa records', baadaye nadhani akaona studio bongo hailipi akarudi zake nje. nafikiri track yake ya kwanza kutengeneza ilikuwa ni 'vituko uswahilini' ya Suma G.
 
Back
Top Bottom