thesym
JF-Expert Member
- Aug 15, 2012
- 3,843
- 4,796
Baadhi ya nyimbo baadae waliamia kwa mikaHio album mbona kama ilifanywa bongo records
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baadhi ya nyimbo baadae waliamia kwa mikaHio album mbona kama ilifanywa bongo records
sio upepo tu mkuu enzi hizo awards hazikuwepo na soko pia lilikua bado la ndani ila kma ingekua sasa ivi angejaza kabati la awardsKubeba award ni upepo wako tu sio producer
Mkuu ni viduku generation msamehe tukwa akili zako zi sahihi
Amit yupo uingereza, alirudi bongo baada ya kumaliza masomo yake ya sound engineering akafungua studio baadae alirudiChidi benz ft mzee yusuf - Raha za dunia.hivi huyu jamaa anatumia jina gani kwenye social media?.
Alafu kuna mhindi alikuwa anaitwa Amit Mental alietengeneza nyimbo ya Noorah - vijimambo sjui yuko wapi huyu jamaa,kuna mwenye habari zake?
Ww utakuwa wa juzi juzi acha wahenga wanene yaoproducer Bora bongo ni WCB laizer na tudd thomas sababu wasanii wao wanabeba ma award duniani kila siku.....
Duniani!!!!! Unaijua dunia ww!!!producer Bora bongo ni WCB laizer na tudd thomas sababu wasanii wao wanabeba ma award duniani kila siku.....
Anasema Maslahi, pia Babu yake alikua anaumwa sana...,.Baloz-Dola Soul-Niko kwenye Chat
Hv huyu mzungu kwanini alirudi Kwao? dah