Prince Nadheem
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 1,259
- 1,056
Nizikwe Hai - Man Dojo & Domo Kaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuwa hujatenda haki ikiwa Tamara ya Hard Mad hauitokuwepo kwenye hiyo list yako!!!Huyu mzungu ni kati ya maproducer bora kabisa waliowahi kutokea bongo fleva, zijue ngoma alizotengeneza:
1. Twenzetu - Chegge
2. Salome- Dully sykes
3. Mabinti wa Kitanga- Bwana Misosi
4. Barua - Daz Nundaz
5. Dingi na Taswira - Mandojo Domo Kaya
6. Wange na Baby gal - Mad Ice
7. Fagio la chuma - Fagio la Chuma
8. etc
Embu tajeni ngoma nyingine mnazokumbuka tumuenzi jembe letu kutoka finland. Na sasa kaacha muziki ni mkalimani.
Alitakaga kunichumbia, tatizo nilikua bado secondary Kilakala girls
Amit alitengeneza pia Zeze ya TID, vituko uswahilini ya Suma G,Chidi benz ft mzee yusuf - Raha za dunia.hivi huyu jamaa anatumia jina gani kwenye social media?.
Alafu kuna mhindi alikuwa anaitwa Amit Mental alietengeneza nyimbo ya Noorah - vijimambo sjui yuko wapi huyu jamaa,kuna mwenye habari zake?
Zeze P funk na Bizman..Amit alitengeneza pia Zeze ya TID, vituko uswahilini ya Suma G,
Heeeh kumbe mdhungu
Mkono wa P Funk na Ludigo.OCG naye yupo... ndani ya Tz na nje ya Tz.
Natumai mnakumbuka wimbo wa akwelina...
Acha ubishi ngoma kama Dingi kafanya mika mwambaNiaje ni p funk majani
Zeze alitengeneza Bizzman. Kuna video ipo youtube akihojiwa na EAtv alisema hivyo. Aliitengezea studio zaAmit alitengeneza pia Zeze ya TID, vituko uswahilini ya Suma G,
Ni track yenye maprodusa kadhaaZeze alitengeneza Bizzman. Kuna video ipo youtube akihojiwa na EAtv alisema hivyo. Aliitengezea studio za
P Funk, bongo records