Zijue Nyimbo zilizotengenezwa na producer Miika Mwamba

Zijue Nyimbo zilizotengenezwa na producer Miika Mwamba

Chidi benz ft mzee yusuf - Raha za dunia.hivi huyu jamaa anatumia jina gani kwenye social media?.

Alafu kuna mhindi alikuwa anaitwa Amit Mental alietengeneza nyimbo ya Noorah - vijimambo sjui yuko wapi huyu jamaa,kuna mwenye habari zake?
Chid benz ft mzee yusufu, ni moja kati ya nyimbo ambazo huwa hazikosi kwenye playlist.
 
HB

Jamaa mkali. Ila wanaanza kumpa hata beat xa majani, basi tu
Majani karekodi "nikupe" then baada ya hapo wakazinguana... dojo na domo wakamalizia track zao mj records. nakumbuka hivo.......
 
Huyu mzungu ni kati ya maproducer bora kabisa waliowahi kutokea bongo fleva, zijue ngoma alizotengeneza:

1. Twenzetu - Chegge
2. Salome- Dully sykes
3. Mabinti wa Kitanga- Bwana Misosi
4. Barua - Daz Nundaz
5. Dingi na Taswira - Mandojo Domo Kaya
6. Wange na Baby gal - Mad Ice
7. Fagio la chuma - Fagio la Chuma
8. etc

Embu tajeni ngoma nyingine mnazokumbuka tumuenzi jembe letu kutoka finland. Na sasa kaacha muziki ni mkalimani.
Kaisiki saida karoli
 
Back
Top Bottom