Zijue Nyimbo zilizotengenezwa na producer Miika Mwamba

Zijue Nyimbo zilizotengenezwa na producer Miika Mwamba

Huyu mzungu ni kati ya maproducer bora kabisa waliowahi kutokea bongo fleva, zijue ngoma alizotengeneza,
1. Twenzetu - chegge
2.Salome- Dully sykes
3.Mabinti wa kitanga- Bwana misos
4.Barua - Daz nundaz
5.Dingi na Taswira - Mandojo domkaya
6.Wange na Baby gal - Mad ice
7.Fagio la chuma - Fagio la chuma
8.etc

Embu tajeni ngoma nyingine mnazokumbuka tumuenzi jembe letu kutoka finland. Na sasa kaacha muziki ni mkalimani

Daz Nundaz walionywa sana wasiondoke kwa Miika Mwamba sababu kwa staili yao ni miika tu ndio alikua anaiwezea hasa ile ya kuimba kwa huzuni miika alikua anawawekea vinanda flan hivi amazing, wakabisha. Wakaondoka wakaenda kwa P kulazimishwa kuimba nyimbo za kujirusha sijui jirushe sijui bosi sijui namba nane sijui nipe tano wakaanza kupoteza uhalisia wao na huo ndio ukawa mwisho wao.
 
Chidi benz ft mzee yusuf - Raha za dunia.hivi huyu jamaa anatumia jina gani kwenye social media?.

Alafu kuna mhindi alikuwa anaitwa Amit Mental alietengeneza nyimbo ya Noorah - vijimambo sjui yuko wapi huyu jamaa,kuna mwenye habari zake?
 
Hilo ndo jina lake official au a.k.a
Jina la passport ni Miikka Aleksanteri Kari, and

Miika.png


Ndo maana akajiita Mwamba... ikiwa mingi ni Kari kwa Kifiniland!!
 
Back
Top Bottom