ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Kuna kinanda cha kusisimua kwenye beat ya hii nyimbo....Mtoto wa geti kali-inspecta haroun
Muungu alivyotuumba anatufaham yy tu! Cjui ni kwanini mwanadam anayeweza au kukifaham kitu chochote vizur huwa yupo simple sana na huwa anawaheshim watu wote.Mcheck jamaa alikuwa mkali sana but he is so simple in appearance with high intellectual abilityMika Mwamba ni namba nyingine,halafu alikuwa anafanya kazi na watu tofauti tofauti sana kwenye industry.
jose...
Kumbe ndo huyu
Chura bin Zigo kwanza mengine baadaye
Kweli mkuu, huyu "muwekezaji" alikuwa simple maana "wawekezaji " wengine ni wabaguzi ajabuMuungu alivyotuumba anatufaham yy tu! Cjui ni kwanini mwanadam anayeweza au kukifaham kitu chochote vizur huwa yupo simple sana na huwa anawaheshim watu wote.Mcheck jamaa alikuwa mkali sana but he is so simple in appearance with high intellectual ability
Sent using Jamii Forums mobile app