Bueno
JF-Expert Member
- Sep 9, 2022
- 4,114
- 6,449
Ndio hao hao ni Kylanda waliochangamka jichanganye wakuingize mjiniHawa si wale wanajifanya ni Microfinance?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio hao hao ni Kylanda waliochangamka jichanganye wakuingize mjiniHawa si wale wanajifanya ni Microfinance?
Kipind fulani walikuwa wengi mpaka keroWanawapataje kizembe hivyo daaah [emoji23]
Sema hv wajanja ndio waliwao mjinga ni mwoga sana kwenye pesa yake jombaWAJINGA NDIO WANAOIBIWA.
WAJINGA NDIO WALIWAO
... kulikojaa intellectuals na think tank ya taifa!Good morning wanavyuo vikuu tanzania !!!
Lakini hiyo faida kala pesa za watu wake wake wa karibu aliowaalika... Kapigwa UAMINIFUGirlfriend wangu anazichezea hizi platforms. Huwa namtumia taarifa na tetesi, na anawala mara zote. Mwanzoni nilikuwa namtaka aache ujinga ila nikaja kujua ni smart upstairs na anajua vizuri risk assessment. Of course kwao ni wajasiriamali na anakaa kwenye biashara za home akiwa likizo. Kalynda yenyewe alipata faida
Kweli??Duniani wajinga ni wengi sana kuliko werevu Chifu.
SanaaaaMzee wa ova ova ina onesha nchi hii inakukera sana kwa ujinga[emoji23][emoji23][emoji23]
Kabla ya kutaka kulindwa lazima ujilinde,inawezekana kuna watu huko huko juu wanawabariki hawa watuMkuu Kama serikali haita walinda wananchi wake basi kila siku wananchi wataendelea kuibiwa tu pesa zao.
Inaitwa ZURICASH AGENCYZARCASH AGENCY naona kuna mdau bado anaposti WhatsApp kwa kiingilio cha 12,000/=
[emoji38]Good morning wanavyuo vikuu tanzania !!!
forex siyo platform.Tienshy kuna general d kuna wazee wa forex
Namba 43 ni umoja ipi?Zijue platform za kimtandao zilizowahi kuibia watu Tz
1.BC investiment
2.QNET
3.EARNJET AGENCIES
4.DAJIP
5.NEXTSTEP VENTURE
6.PAMA FUND
7.SME
8.IDEA DEBATOR
9.DEAL NO.1
10.SCATEC
11.GLOBAL
12.ALIANCE
13.PAYMARA
14.CRYPTO BOND
15.SUPREME HARVESTERS
16.ZIRCON
17.INCLUSIVEFX
18.GROSSBYTE
19.VORTEX
20.T PURCHASE
21.FOREVER LIVING
22.D9 CLUB
23.RIFARO AFRICA
24.DEC
25.BIT CLUB
26.ZURI CASH
28.WHOZYUU HAWA KANDA YA ZIWA WANAWAFAHAM
29.ZEBU
30.MTFEE
31.CROWD ONE
32.ORIFLAME
33.YESSTYLE
34.MULA EMPIRE
35.NIPHERO1
36.TAKEALOT
37.AGAM
38.COTP
39.DREAM LIFE
40.GOLDEN INVESTIMENT
41.MYER
42.MEGAWEALTH
43. Umoja
44. Faida investment
45.kalynda huyu ndo ameenda na vichwa kibao kwa mbwembwe na matangazo na matshert vikao vya kutosha kilichowakuta watz MUNGU ndo anajua
46.bb bestibei E.COMMERCE COMPANY huyu anaanza tar 20 ya mwezi huu na bado watz tutalizwa tena.
47. JATU
48. BF SUMA
49. TUUNGANE KILIMO BIASHARA GROUP
Kila platform imewapiga watu saaana na hazijawahi dumu zaidi ya miezi 3.
Ukielezea kila moja na historia yake utachoka na hapo bado hazijaisha na kila moja ina mbinu zake za kuwapiga raia
Tufanye kazi tuache maisha kitonga .
Watu wameumizwa sana lakin hatusikii.