Zijue platform za kimtandao zilizowahi kuwaibia watanzania

Zijue platform za kimtandao zilizowahi kuwaibia watanzania

Kumbe unajua wale weny capital kubwa ndo wanatingisha soko wanalipeleka wanavyotaka😂😂unatakiwa uwe na sniper entry kujua hao market maker wanaendaje
Sio lazima iyo Ni myth mkuu kuwa sniper entry. You don't need to be the first or the last in market movement.
Unataka kutisha ili uwape kozi.
Mbona unaongea Kama mtu nayekufahamu
 
…Don’t play dangerous game unless you’re willing to loose…
Losing is the rule of the game. Thus we make sure we're the best loser. We aren't hard at losing. We love losing but we have to lose small compared to our gains.
Hata normal business Kuna losses like umelipia usafiri tax kupakia shusha weka dukani hizo zote Ni loss Ila unajuaa utauza na utazifidia mkuu. So huku Kuna spreads slippage when entering and exiting the market.
It's normal the trend to go against me.
But am quicker realizing that am in wrong side.
If you're hard at losing you'll really lose more
 
Screenshot_20221017-201915.png


Ipo Mwanza hio umeiona, wanajaribu kuisambaza kwa kasi saaaana sasa hivi

Inaitwa SmartphonePesa

Screenshot_20221017-203950.png


Screenshot_20221017-204048.png


Screenshot_20221017-204016.png


OGOPA HAWA MATAPELI
 
Kuna nyingine umeiacha inaitwa CHAMPION ukiwauliza ofisi zilipo wanasema zipo Mwanza hii bado haijakamatwa ila ni km Kylanda tu hawana tofauti ni weeeeeeezi wote ni wezi tu zaidi ya matapeli

Hawa si wale wanajifanya ni Microfinance?
 
😂😂😂😂 na watu kutapeliwa kote na bado Kuna platform zinaunda mtego mwingine na bado watu wataliwa vilevile ..🤣🤣🤣🤣🤣
 
Iran tu walitembea na kama $20mil ndo chanzo cha kufungiwa hizi platform huko Iran ile 2019 hawatosahau.bado Kuna inchi kama India, Pakistan, Thailand , USA ,UK na za Africa.

Hapo mzumbe palikuwa na wale promoter wakina majaliwa[emoji23][emoji23][emoji23] sudi slaa
Bila kupepesa macho hakika matapeli ni Aliens waliochangamka kiakili katika sayari yetu hii ya 3 (dunia) [emoji4][emoji119]
 
Girlfriend wangu anazichezea hizi platforms. Huwa namtumia taarifa na tetesi, na anawala mara zote. Mwanzoni nilikuwa namtaka aache ujinga ila nikaja kujua ni smart upstairs na anajua vizuri risk assessment. Of course kwao ni wajasiriamali na anakaa kwenye biashara za home akiwa likizo. Kalynda yenyewe alipata faida
Namba za Shemeji tafadhali ili nimkanye tabia ya kucheza na hizo platform [emoji87]
 
Back
Top Bottom