Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nilikoswa koswa na forever living 😂Dah hao wote hakuna alienipata hata mmoja
Toa link ya hii kitu, watu hawatakoma 😀46.bb bestibei E.COMMERCE COMPANY huyu anaanza tar 20 ya mwezi huu na bado watz tutalizwa tena.
Ila asizoee sana ipo siku upstair yake haitafanya kaziGirlfriend wangu anazichezea hizi platforms. Huwa namtumia taarifa na tetesi, na anawala mara zote. Mwanzoni nilikuwa namtaka aache ujinga ila nikaja kujua ni smart upstairs na anajua vizuri risk assessment. Of course kwao ni wajasiriamali na anakaa kwenye biashara za home akiwa likizo. Kalynda yenyewe alipata faida
Ndio maana ya risk takingIla asizoee sana ipo siku upstair yake haitafanya kazi
Mkuu Kama serikali haita walinda wananchi wake basi kila siku wananchi wataendelea kuibiwa tu pesa zao.NCHI HII INA WAPUMBV NA WAJINGA WENGI KWELI KWELI
ova
Lazima uwe na mtaji mkubwa wa kukodi ofisini nzuri ya kuvutia mafala, lazima utowe ajira za muda kwa ofisini attendant's, na pesa ya promotion kabla mafala hawajaanza kufulika na account kufurika manoti.ila huez kuanza bila mtaji mrefu sio
Hiyo bado ndogo....Hela nyingi zitatoka kwenye kuwalipa wale wa mwanzo mwanzo kabla hujaanza kupata faidaLazima uwe na mtaji mkubwa wa kukodi ofisini nzuri ya kuvutia mafala, lazima utowe ajira za muda kwa ofisini attendant's, na pesa ya promotion kabla mafala hawajaanza kufulika na account kufurika manoti.
Ile system yao iikuwa ni ya barter trade sema hizi mambo ni hatariDah hawa jamaa walipromote sana...ila mm nliwaona ni matapel tu. Kwasababu wallet za bitcoin zipo kibao sio kwa system waliokuwa wanaitaka wao.
Hao namba 2 walinijia na mbwembwe kama zote.......eti saa sijui 2M ......nikawacheki na good morning zao sijui walijua mi ni zuzu........nikawatimulia mbali hukoZijue platform za kimtandao zilizowahi kuibia watu Tz
1.BC investiment
2.QNET
3.EARNJET AGENCIES
4.DAJIP
5.NEXTSTEP VENTURE
6.PAMA FUND
7.SME
8.IDEA DEBATOR
9.DEAL NO.1
10.SCATEC
11.GLOBAL
12.ALIANCE
13.PAYMARA
14.CRYPTO BOND
15.SUPREME HARVESTERS
16.ZIRCON
17.INCLUSIVEFX
18.GROSSBYTE
19.VORTEX
20.T PURCHASE
21.FOREVER LIVING
22.D9 CLUB
23.RIFARO AFRICA
24.DEC
25.BIT CLUB
26.ZURI CASH
28.WHOZYUU HAWA KANDA YA ZIWA WANAWAFAHAM
29.ZEBU
30.MTFEE
31.CROWD ONE
32.ORIFLAME
33.YESSTYLE
34.MULA EMPIRE
35.NIPHERO1
36.TAKEALOT
37.AGAM
38.COTP
39.DREAM LIFE
40.GOLDEN INVESTIMENT
41.MYER
42.MEGAWEALTH
43. Umoja
44. Faida investment
45.kalynda huyu ndo ameenda na vichwa kibao kwa mbwembwe na matangazo na matshert vikao vya kutosha kilichowakuta watz MUNGU ndo anajua
46.bb bestibei E.COMMERCE COMPANY huyu anaanza tar 20 ya mwezi huu na bado watz tutalizwa tena.
47. JATU
48. BF SUMA
49. TUUNGANE KILIMO BIASHARA GROUP
Kila platform imewapiga watu saaana na hazijawahi dumu zaidi ya miezi 3.
Ukielezea kila moja na historia yake utachoka na hapo bado hazijaisha na kila moja ina mbinu zake za kuwapiga raia
Tufanye kazi tuache maisha kitonga .
Watu wameumizwa sana lakin hatusikii.
Usiongee usichokijua kwa forex na kukatalia ama crypto. Labda mtu kulizwa kuwa njoo nikufundishe ama nioo uwekeze hela baadaye unavuna.Tienshy kuna general d kuna wazee wa forex
Qnet bado ipo mkuu pamoja na kuwaliza sana watu bt bado ipo sema ndo ofisi zao wanaficha ficha. USIMWAMBIE MTUUUU.Zijue platform za kimtandao zilizowahi kuibia watu Tz
1.BC investiment
2.QNET
3.EARNJET AGENCIES
4.DAJIP
5.NEXTSTEP VENTURE
6.PAMA FUND
7.SME
8.IDEA DEBATOR
9.DEAL NO.1
10.SCATEC
11.GLOBAL
12.ALIANCE
13.PAYMARA
14.CRYPTO BOND
15.SUPREME HARVESTERS
16.ZIRCON
17.INCLUSIVEFX
18.GROSSBYTE
19.VORTEX
20.T PURCHASE
21.FOREVER LIVING
22.D9 CLUB
23.RIFARO AFRICA
24.DEC
25.BIT CLUB
26.ZURI CASH
28.WHOZYUU HAWA KANDA YA ZIWA WANAWAFAHAM
29.ZEBU
30.MTFEE
31.CROWD ONE
32.ORIFLAME
33.YESSTYLE
34.MULA EMPIRE
35.NIPHERO1
36.TAKEALOT
37.AGAM
38.COTP
39.DREAM LIFE
40.GOLDEN INVESTIMENT
41.MYER
42.MEGAWEALTH
43. Umoja
44. Faida investment
45.kalynda huyu ndo ameenda na vichwa kibao kwa mbwembwe na matangazo na matshert vikao vya kutosha kilichowakuta watz MUNGU ndo anajua
46.bb bestibei E.COMMERCE COMPANY huyu anaanza tar 20 ya mwezi huu na bado watz tutalizwa tena.
47. JATU
48. BF SUMA
49. TUUNGANE KILIMO BIASHARA GROUP
Kila platform imewapiga watu saaana na hazijawahi dumu zaidi ya miezi 3.
Ukielezea kila moja na historia yake utachoka na hapo bado hazijaisha na kila moja ina mbinu zake za kuwapiga raia
Tufanye kazi tuache maisha kitonga .
Watu wameumizwa sana lakin hatusikii.
Babu sio mimi, mimi nipo smart kweli kweli linapokuja suala la pesa, hizo kampuni zote zilizotajwa hapo juu hakuna hata moja niliyowahi kushawishika na kujiunga.Wabongo wajanja mdomoni lkn kichwani hakuna kitu!
Muda wa kutoa ushuhuda🤣🤣Mimi nilikoswa koswa na forever living 😂