Zijue platform za kimtandao zilizowahi kuwaibia watanzania

Zijue platform za kimtandao zilizowahi kuwaibia watanzania

Hizi tarehe za post sizielewi elewi au ni mimi peke yangu
 
Mimi nilikoswa koswa na forever living 😂
Forever sio utapeli, au Kuna mtu unamjua amewahi kutapeliwa??

Jaribu kufanya research, nenda pale ofisini kwao, Victoria- makumbusho

Ile ni biashara ya kuuza virutubisho,

Shida kubwa ni kwamba unaweza ukajiunga Kisha ukashindwa kumaster hiyo biashara, ukawa umepata hasara

Hapo utakuwa umepata hasara Kama kwenye biashara nyinginezo ila hujatapeliwa.
 
Forever je?

Hapo utakuwa umepata hasara Kama kwenye biashara nyinginezo ila hujatapeliwa
 
Ufafanuzi kuhusu BF SUMA maana mpaka Leo wapo
Bf Suma ni kampuni ya kuuza virutubisho

Ni biashara Kama biashara nyinginezo

Kikubwa ukijiunga unakuwa Kama wakala wa products zao

Shida Kama huwezi biashara ya kutangaza mtandaoni usijaribu
 
Dah! Hawa jamaa Yan ni mabillionea saiv watakua wanacruise na mayatch wakivuta zile premium cigars huko bahamas saiv, ila mm nakuapia lazima nije na yangu. Na lazima ntatembea na kijiji kikubwa sana.
Niko nao hapa Ibiza, juzi tu hapa nimewaona California Beach [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wanakula bata za kufa mtu [emoji24][emoji1787]
 
Namna 45 wahusika wanajulikana, mmoja wao ni mtoto was Askari, waliripotiwa mwezi kabla ya tukio, walikamatwa na kuachiwa na polisi na kwa mujibu was polisi bado wanawachunguza.
 
Forever sio utapeli, au Kuna mtu unamjua amewahi kutapeliwa??

Jaribu kufanya research, nenda pale ofisini kwao, Victoria- makumbusho

Ile ni biashara ya kuuza virutubisho,

Shida kubwa ni kwamba unaweza ukajiunga Kisha ukashindwa kumaster hiyo biashara, ukawa umepata hasara

Hapo utakuwa umepata hasara Kama kwenye biashara nyinginezo ila hujatapeliwa.
Hebu acha ujinga, dawa ya mswaki ukamuuzie mtu laki 3? Hizo product zenye thamani ya elfu 50 unaambiwa ununue kwa laki 9, sasa hiyo pesa kiuhalisia ni kiingilio cha Deci ili na wewe uingize watu wapya kwenye pyramid scheme ili upate gawio.., ni DECI tu
 
Back
Top Bottom