Pre GE2025 Zijue sababu 5 za kwanini Lissu ni hatari kwa CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lissu ni mjanja wa sheria anajua akisema nini hatatiwa hatiani

..Lissu awe mjanja wa sheria kwa miaka 30 huku Ccm wanamuangalia tu na magwiji wao wa sheria?

..kinachompaisha Lissu ni uimara wake ktk kutetea HAKI za Watanzania. Watanzania wanamjua kama mwanasiasa asiyeyumbishwa.

..Vyombo vya dola vinajua Lissu ni mtu wa aina gani. Na Mama Abduli, na CCM wanajua Lissu ni mwanasiasa wa aina gani.
 
Katiba ya JMT ni tamu sana.

Hata TAL akiwa Raisi hatataka kuibadilisha..
 
CCM magwiji wa Sheria mwameshastaafu. Nao ni Warioba na Chenge. Saivi wana wehu wanaotamani madaraka kwa kupenda kujipendekeza.
 
CCM magwiji wa Sheria mwameshastaafu. Nao ni Warioba na Chenge. Saivi wana wehu wanaotamani madaraka kwa kupenda kujipendekeza.

..Chenge, Migiro, Mwakyembe, Kabudi, wote kwa nyakati tofauti walijaribu kukabiliana na Lissu lakini wakamshindwa. Na wote hao wanajulikana kama miamba ktk tasnia ya Sheria.

..Tundu Lissu ana jambo la ziada dhidi ya watu wengi wanaompinga nalo ni kusimama upande wa HAKI. Na amefanya hivyo bila uoga, na kwa muda mrefu.
 
Hao wote uliowataja wanaweza kuwa walipata alama nzuri darasani kwenye masomo yao ya Sheria ila hawana weredi kwenye kuichambua na kui
 
Hao wote uliowataja wanaweza kuwa walipata alama nzuri darasani kwenye masomo yao ya Sheria ila hawana weredi kwenye kuichambua na kui
 
umesahau moja. Lisu ana akili nyingi sana, ni muwazi sio mdanganyifu, huongea kilichopo moyoni na hupenda kujibizana kwa hoja na lazima akushinde, pia ni mwanasheria. anajua kupiga kwenye mshono, hotuba zake zote ukizisikiliza utajua kuwa anaangalia mapungufu yapo wapi na anapita mlemle na mwisho wa siku watu wanamwelewa kuwa anaongea jambo la msingi. hiyo ndio faida ya wanasheria wengi, kwa sababu wamezoea mahakamani ili ushinde kezi unatakiwa kuandaa au kujibu hoka kwa kufuata vifungu vya sheria, kuangali awapi pana gap na unapaziba kwa maslahi ya upande wako, jambo ambalo DJ mbowe aliyekimbia shule kwa sababu ya mziki wa dansi wakati baba yake alikuwa na uwezo kumsomesha hata HAVARD, alikikosa. Mbowe was nothing, hata wanaomsifia wanamsifia kwa kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa tu.
 
Nakubaliana na wewe. Hakuna Mwanasiasa mwenye akili nchi hii kama Tundu Antipass Lissu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…