Pre GE2025 Zijue sababu 5 za kwanini Lissu ni hatari kwa CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Simkubali na sijawahi kumuelewa huyo mropokaji

CCM MITANO TENAA
Kama wewe mwenyewe hujielewi utawezaje kuwaelewa wengine..?

Mtu mjinga na asiye na akili na ufahamu hawezi kumwelewa Tundu Lissu...

Wewe ni miongoni mwa watu hao.,
 
Na hili pia mkalitizame ……
 
Anakubalika na Jumaiya ya kimataifa.Ndiyo mabalozi walikesha kwenye mkutano wa chadema hadi saa kumi alifajiri wakisubiri uchaguzi ikamilike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…