Zijue Sababu za Kwanini ni Wasira?, He is The Right Man at The Right Time & The Right Place. It Is A Project!, Ikikamilika, Atang'atuka, Kama Kinana!

Namalizia Shahada yangu ya Uzamivu, inayoangazia kwa namna gani IQ ya mtu inaweza athiriwa na umri. Bila shaka nawe utakuwa mfano hai katika kablasha langu, haiwezekani mtu unayejipambanua kuwa umeanza uandishi wa habari miaka ya 1990, na bado unaendelea kuandika MASHUDU
 
Pascal nakupa PhD ya kusifu na kuabudu. Hata kama angeteuliwa yule shetani wa Arusha, aliyetumwa na Mungu ili tuone the real image of the devil, ungemsifia hivi hivi.
 
Nimekusoma mayalla,kuna watu wanaongea kuwa kwanini hujapewa cheo na serikali,kwani lazima? kwani huwezi kuishi bila hivyo vyeo?Mungu yupo atakupa maendeleo kwa wakati wake.Endelea kusali
 
Kwa akili yako paskal kaandika mashudu,je wewe umeandika nini? kafyolo! tuache kuchukia watu bilashi
 
USA taifa linalosemekana kuwa na nguvu zaidi duniani linaongozwa na Rais Mwenye miaka zaidi ya 80, isitoshe Rais Mteule naye anaelekea miaka 80: Elewa neno Taifa lenye nguvu.

Mifano ni mingi sana; Nancy pelosi hadi anastaafu U speaker wa House of Rep mwaka 2023 alikuwa na miaka 83.

Kuna mahali elimu hizi zinatudanganya sana Africa. Anyway all the best kwenye shahada yako ya uzamivu.
 
Kumbe Wasira alishawahi kumtwanga hadharani mwandishi wa habari, hapa naomba anaejua anieleweshe ilkuaje
 
Sawa. Lakini Mimi nimegundua Wasira kateuliwa na kupitishwa kwasababu hao jamaa na kundi lao wanazitaka sana kura za Kanda ya ziwa. Kanda ya ziwa ni Kanda sensitive na strategic kwenye uchaguzi wa nchi yetu.Hawa jamaa wa kijani na si hivyo Bali katika siasa za nchi yetu hiyo Kanda ukifanikiwa kuishika basi 65% ya wewe kushinda ipo. Sasa kule saivi wana naibu PM,makamu mwenyekiti n.k. good plan but waiting to be challenged by God only
 
Issue ni kura za kanda ziwa kule...wananzengo bado wana hasira kuporwa tonge mdomoni na masalia yoote yakatupwa huko.....tusubiri ukinzani hasa jamaa waleee.....wazee wa mujini wa kanda ziwa kina ........wa star tv na wengineo.....ameona Dotto mwepesi kupambania kombe ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…