The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
wewe ni mwanachama hai wa INFIDELITY.....!
kama unabisha sema kabisa NIMWAGE MBOGA HAPA JF
am counting 97..............96...................95
wewe ni mwanachama hai wa INFIDELITY.....!
kama unabisha sema kabisa NIMWAGE MBOGA HAPA JF
am counting 97..............96...................95
NAKURUHUSUUUU.Am not suprised by you anyway....Mr infedelator.wewe ni mwanachama hai wa INFIDELITY.....!
kama unabisha sema kabisa NIMWAGE MBOGA HAPA JF
am counting 97..............96...................95
ngoja nikuheshimu tu!......
usingekuwa mwanachama wetu wa infidelity ningeupload vitu hapa hehehehehehe!
ungebadili aidii kabisa
hehehehehe!Nakuruhusu Teamo.Cant You understand me? Upload hivyo vitu.Hivi ni vitisho?Na huku kuniheshimu umeanza lini? as far as I kno heshima hiyo huna especially kwa wanawake.Na hii thread yako ni udhibitisho tosha.Kama ungekuwa unamuheshimu anagalu hata ''Mshiki" usingetoa maneno kama haya kwenye hii thread...
KonaKali uzuri kwenye kamati yetu hakuna kitengo cha kupiga propaganda kama za Makamba na Chegeni
Natangaza rasmi nimefikia maamuzi ya kujiunga upinzani, Mwenyekiti naomba nikutafute ili nirudishe card.
Asante w3anachama wote wa infidelity kwa ushirikiano wenu.
Beauty
Inabidi kikao kikae na kifanye maamuzi hauwezi kurudisha kadi kienyeji
Hebu twende pm kidogo basi...:A S 8:
Unakaribishwa sana chama Pekee amabcho ni Mwokozi .Nakuhakikishia hutajuta kamwe kujiunga nasi.
Sifa zetu kwa ufupi....
tuna AMANI,UPENDO,TUNAJIAMINI,na FURAHA wakati wote
hapana siwezi kutumikia mabwana wawili, upinzani unanitosha..SIDANGANYIKI 2010.
bado sijaona mwanachaa wa kurudi bana!
hehehehe
Mpwa naona Beauty anatingisha kiberiti kwenda upinzani ili kamati imuongezee mafao abaki
Haya bana.I am Praying for you lakn......am out.hehehehehe!
sasa wewe naona unatoa ''yako ya moyoni''......
unuajisahau kuwa unavunja sheria namba 13 hapo juu.
mimi sitii neno hapo pa kutokuwa na heshima kwa wanawake/mshiki maanake hilo swala ni la ''ndani zaidi''.ndugu yangu x-pin anaweza kunihoji ILIKUWAJE
hehehe!Haya bana.I am Praying for you lakn......am out.
And dont 4get maneno pia yanachangia kwa kiasi kikubwa kuionyesha jamii kuwa what kind of a person you are..you better be careful in this area.
Infidelity ishindwe mileleeeee!
Bye 4 now.........
hahahaha,SIDANGANYIKI 2010Mpwa naona Beauty anatingisha kiberiti kwenda upinzani ili kamati imuongezee mafao abaki
not reallyhehehehe!
unajua huyo Beauty ni ''THE BLOODY MEMBER OF INFIDELITY''
yaani huyo ni kama MREMA NA CCM.....!
msijidanganye
Niliaga lakn naomba ruhusa kurudi.hehehe!
mimi nilidhani ZD ni mmoja wa watu wanaonifahamu vizuri zaidi,kumbe sio
hii ni JAMIIFORUMS mama......!tunacheza na keyboards tu jioni tunakutana kwenye valuu then tunarudi kubembeleza ndoa na vichanga vyetu.
hehehehe!Niliaga lakn naomba ruhusa kurudi.
Rejea post zangu za huko mwanzoni kwenye hii thread.Hasa kuhusu Power of words.
Maneno huumba.And am praying that this bad disease will never catch you or Mshiki(iam very sincere in this matter)
Peace and love.
Nakuruhusu Teamo.Cant You understand me? Upload hivyo vitu.Hivi ni vitisho?Na huku kuniheshimu umeanza lini? as far as I kno heshima hiyo huna especially kwa wanawake.Na hii thread yako ni udhibitisho tosha.Kama ungekuwa unamuheshimu anagalu hata ''Mshiki" usingetoa maneno kama haya kwenye hii thread...
Haya bana.I am Praying for you lakn......am out.
And dont 4get maneno pia yanachangia kwa kiasi kikubwa kuionyesha jamii kuwa what kind of a person you are..you better be careful in this area.
Infidelity ishindwe mileleeeee!
Bye 4 now.........
Niliaga lakn naomba ruhusa kurudi.
Rejea post zangu za huko mwanzoni kwenye hii thread.Hasa kuhusu Power of words.
Maneno huumba.And am praying that this bad disease will never catch you or Mshiki(iam very sincere in this matter)
Peace and love.
karibu uthibitishe hilo.au nikuthibitishie????
Hivi mlifikia wapi? Kura kwa Slaa au JK? Naomba mwongozo.
Katibuuuu?