Zijue sheria ''mama' za infidelity...


Napenda sana mwanafunzi wa aina yako....napenda sana....
BTW: huyo babu yako anatimiza tu wajiba wake....
 
Hapa nahisi INFIDELITY ilichukua nafasi yake kwa upande wa mama. Kutokana na upendo wa baba na DNA ikabeba infedlity
 
Nimezisikia kutoka Kenya hizi

http://visanga.blogspot.com/2009/11/rules-to-help-you-cheat-on-your-spouse.html
 
Mheshimiwa Mwenyekiti,

Kwa kuwa idadi inaonesha kamati imesheeni sana wajumbe wa upande tawala na kwa kuwa takwimu zinaonesha kuwa Infidelatees ni wengi kuliko Infidelators:-

Je, Upande tawala hauoni kuwa haujatutendea haki sisi wa upande pinzani? Pili. Ili iwepo demokrasi katika jambo hili la Infidelity, Je ndugu mwenyekiti huoni kuwa hauja tutendea haki sisi wa upande pinzani hasa kwa kutuchagulia wapinzani mamluki?

Mh mwenyekiti, kwa kuwa wajumbe wa upinzani ni wachache kuliko wa upande tawala? Je hili linatokana na ukweli kuwa ma-infidelators na Ma-Infideletees ni wengi sana kuliko non-infideletors and non-infedeletees?

Mwisho kabisa naomba mwenyekiti utuongoze kupiga kura ya veto maana pande hii ya upinzani hatuna imani na baadhi yetu hasa PJ, Beauty na Smiles.

Mwenyekiti naomba kuwasilisha hoja.

Mjumbe kambi ya upinzani
 

Kwa kuwa Mwenyekiti alikanisimu madaraka yake kwangu....basi napenda kuchukua nafasi hii kukukaribisha sana chamani.
Jambo la muhimu ni kukumbuka kukamilisha michango yako ya uanachama.
Katibu cum kaimu mwenyekiti!
 

Mjumbe mwenza wa kambi yetu pinzani.......
nakuomba utoe shaka kabisa kuhusu 'mimi'
kwakuwa mimi ni mjumbe mtiifu kabisa wa kambi yetu.....
na hata chama tawala kinajua kabisa kwamba mimi sidanganyiki....
kwa hiyo toa wasi wasi...upinzani forever!!!
 
Mjumbe mwenza wa kambi yetu pinzani.......
nakuomba utoe shaka kabisa kuhusu 'mimi'
kwakuwa mimi ni mjumbe mtiifu kabisa wa kambi yetu.....
na hata chama tawala kinajua kabisa kwamba mimi sidanganyiki....
kwa hiyo toa wasi wasi...upinzani forever!!!

Ushawasiliana na mweka hazina?:confused2:
 
Ushawasiliana na mweka hazina?:confused2:

Yap....
na tumekubaliana rasmi kwamba kuanzia sasa mimi ni mwanachama wa kambi ya upinzani,
na kwamba sitahusishwa na lolote lile litakalo kuwa linaendelea chama tawala.....
 

Wewe nakuteua kuwa mweka hazina msaidizi!!!:confused2:
 
Hope ulipata tikiti lako, nilimpa Asprin akuletee

Tikiti lako, ila unanipa mimi....:A S 8:....
kama ulimpa Asprin......dah....ngoja nicheki nae kama kanibakizia...
 
kuwa na Imanin tu mkuu, mi mimi ni upunzani damu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…