Zijue sheria ''mama' za infidelity...

Zijue sheria ''mama' za infidelity...

Okey....So infidelator anapokuwa anainfidelate huwa anajua kuwa na mkewe naye ni infidelatee wa infidelator mwengine (na kama ulivyosema kuna kushare ... so ni infidelatee wa infidelators wengine?) na inawezekana kabisa wakati infidelator anainfidelate na mkewe anainfidelate kwa wakati huo huo?

Naona sasa naanza kuelewa somo mwalimu..... si ndiyo?
yaani exactly naona sasa TUPO PAMOJA!....
ngoja nikakuletee valuu za pakiti na chapati mbili ufungue kinywa!
naona una hang ova za kufa mtu
 
yaani exactly naona sasa TUPO PAMOJA!....
ngoja nikakuletee valuu za pakiti na chapati mbili ufungue kinywa!
naona una hang ova za kufa mtu

Mpwa umemfahamisha Asprin kuhusiana na kile kikao ambacho ulikuwa umesuggest?
 
Teamo sijapata zile pm:confused2:

hahahahah......

zimepitia mlango wa nyumba zikarudi zilipotoka.....
dah...i think this is another rule kwa 'infidelators' .......lazima uwe mjanja zaidi ya katibu!!!
heheheheh...........
 
Ushindwe na ulegee....HAKUNA kitakachonitenganisha na mchumbangu! hata fumanizi, litasamehewa!:A S 8::A S 8:

Nyie ndio mnadanganyana, na kuendekeza INFIDELITY, UFISADI, na UCHAKACHUAJI....! Mimi sipo siku unalia....!

KonaKali nina kadi yako, tshirt na kofia karibu I know very soon you will change your mind i am still giving you time to think bout it when you are ready just :A S 101: vipi umeishapata :tea:

Kamwe mshabiki hataki kuonesha kukata tamaa, japo haingii uwanjani....! Ndio maana nawe huelekei kukata tamaa, lakini naamini humo ndani kamwe huingii....! Aidha, nimepata ujumbe wako, na nitakujoin muda si mrefu sana. Asante pia kwa ukarimu wako....!

Tena nitaangaza nia muda sio mrefu ili niweke wazi.Labda atubu na kurudi kwa wapinzani.

YES.....! Karibu huku maana mimi ndio napeperusha bendera ya upinzani, nawe nitakutambulisha kwa nafasi yako ya Ufirst Lady mtarajiwa. Hope you will join me unconditionally....!
 
Ngoja niwatafute wajumbe wa bodi kuja kujadili huu mswada kabla haujasainiwa

Mwenyekiti - Pope Kaizer
Katibu - St. Roya Roy
Mweka hazina - Big braza Asprin -ODM
Katibu mwenezi - Bigirita
Mshauri mkuu - Fidel
Wajumbe: The Finest, Masanilo, Dreamliner,Askofu,Kimey,Klorokwini,Maskini Jeuri,D5, Msanii, Dark City,Smiles, Beauty, bht,fanta,bacha,Jamii Forums, Acid,Teamo
Wajumbe toka kambi ya upinzani: Carmel. Nyamayao, MJ1,Mwalimu Gaijin, ZD,Shishi,Mom......na wote wenye mapenzi mema na infidelity.:welcome::welcome::welcome:

My eyes couldnt help peeking.....
Kwa hiyo hii ndio kamati nzima ya ufundi! :eyeroll2:
Ok, naomba kuchukua mafunzo kidogo tafadhali kabla sijaamua upande upi utanifaa zaidi!
Faida na hasara...??? :confused2:
 
hahahahah......

zimepitia mlango wa nyumba zikarudi zilipotoka.....
dah...i think this is another rule kwa 'infidelators' .......lazima uwe mjanja zaidi ya katibu!!!
heheheheh...........

Naingilia mlango huo huo...ntazipata soon...si umeona mwenyekiti alisema ziwepo ili tuzitie saini??

Ok, naomba kuchukua mafunzo kidogo tafadhali kabla sijaamua upande upi utanifaa zaidi!
Faida na hasara...??? :confused2:

Yes you can....infact inaelekea huhitaji hata mafunzo....nimekusoma kwa jicho la tatu....
 
Naingilia mlango huo huo...ntazipata soon...si umeona mwenyekiti alisema ziwepo ili tuzitie saini??

Yes you can....infact inaelekea huhitaji hata mafunzo....nimekusoma kwa jicho la tatu....

Mpwa mafunzo muhimu si unajua hata kama una mbinu zako mwenyewe ukiingia kwenye chama lazima ukutane na sheria mama zenyewe ambazo ndio inabidi upate mafunzo kutoka kwa wakufunzi TEAMO, ASPRIN, KAIZER,FIDEL80 na lecturer wengine
 
Nyie ndio mnadanganyana, na kuendekeza INFIDELITY, UFISADI, na UCHAKACHUAJI....! Mimi sipo siku unalia....!

Kamwe mshabiki hataki kuonesha kukata tamaa, japo haingii uwanjani....! Ndio maana nawe huelekei kukata tamaa, lakini naamini humo ndani kamwe huingii....! Aidha, nimepata ujumbe wako, na nitakujoin muda si mrefu sana. Asante pia kwa ukarimu wako....!

YES.....! Karibu huku maana mimi ndio napeperusha bendera ya upinzani, nawe nitakutambulisha kwa nafasi yako ya Ufirst Lady mtarajiwa. Hope you will join me unconditionally....!

KonaKali uzuri kwenye kamati yetu hakuna kitengo cha kupiga propaganda kama za Makamba na Chegeni
 
KonaKali uzuri kwenye kamati yetu hakuna kitengo cha kupiga propaganda kama za Makamba na Chegeni
hapa ni utekelezaji tu!...

haya kaka kamata hii:
The Following User Says Thank You to The Finest For This Useful Post:

Teamo (Today)​
 
Naingilia mlango huo huo...ntazipata soon...si umeona mwenyekiti alisema ziwepo ili tuzitie saini??

Mmh...ok!
sasa na mimi si nakuwa copied ili niwe naweka saini on behalf of katibu
ikitokea amepata dharura..........:becky::becky:
 
Mmh...ok!
sasa na mimi si nakuwa copied ili niwe naweka saini on behalf of katibu
ikitokea amepata dharura..........:becky::becky:

Hapana, zikishakuwa signed nazi-circulate kwa wote....! Ondoa shaka ya kutopata nakala yako! ..... ...
 
Natangaza rasmi nimefikia maamuzi ya kujiunga upinzani, Mwenyekiti naomba nikutafute ili nirudishe card.
Asante w3anachama wote wa infidelity kwa ushirikiano wenu.
Beauty
 
Natangaza rasmi nimefikia maamuzi ya kujiunga upinzani, Mwenyekiti naomba nikutafute ili nirudishe card.
Asante w3anachama wote wa infidelity kwa ushirikiano wenu.
Beauty

Inabidi kikao kikae na kifanye maamuzi hauwezi kurudisha kadi kienyeji
 
well hapa haitakiwi kuongea sana,ni kuzishusha tu kama ifuatavyo:

4-INFIDELATORS/INFIDELEETES wanatakiwa kushea-KIZURI KULA NA NDUGUYO!(hii sheria ni muhimu sana).ukimpata infideletee anaejituma sana gesti muhabarishe na mwenzio akamfaidi.SHARING IS CARING-KUGAWANA NI KUJALI

......
Hii rule inahitaji modifikesheni kidogo.....kizuri kula na nduguyo na kibaya mtahadharishe nduguyo...
 
Natangaza rasmi nimefikia maamuzi ya kujiunga upinzani, Mwenyekiti naomba nikutafute ili nirudishe card.
Asante w3anachama wote wa infidelity kwa ushirikiano wenu.
Beauty

Hebu twende pm kidogo basi...:A S 8:
 
Back
Top Bottom