Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,271
- 1,052
- Thread starter
- #261
yaani exactly naona sasa TUPO PAMOJA!....Okey....So infidelator anapokuwa anainfidelate huwa anajua kuwa na mkewe naye ni infidelatee wa infidelator mwengine (na kama ulivyosema kuna kushare ... so ni infidelatee wa infidelators wengine?) na inawezekana kabisa wakati infidelator anainfidelate na mkewe anainfidelate kwa wakati huo huo?
Naona sasa naanza kuelewa somo mwalimu..... si ndiyo?
ngoja nikakuletee valuu za pakiti na chapati mbili ufungue kinywa!
naona una hang ova za kufa mtu