Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Hommie Kaizer, si inategemea na kazi yenyewe??Kongosho sheria ya mahusiano kazini 2004 iko wazi....hahaha "hairuhusiwi kumhalasi mjakazi wako. mpe kazi kwa kiasi, ukimpenda, suimwinamishe....usitake mgongo wake bila ridhaa, wala jicho lako lisimwangalie kwa husuda. Mpe stahili zake kama yanenavyo maandiko, kazi yake isiwe chanzo cha sononeko. Je, hukupewa vyote na Bwana wa Majeshi? basi usimtendee uovu mtumishi na mjakazi wako, asema Bwana."
Mwisho wa kunukuu
Last edited by a moderator: