Smiles
JF-Expert Member
- Aug 24, 2009
- 1,231
- 107
Kumbe ulishavimbishwa Smiles?
Hongera sana mjukuu wangu...
Naamini sasa wewe ni mtu tofauti kabisa na hizi toto za mtaani...
Unajua mbichi na mbivu kwa kweli.
Karibu sana kwenye club ya kulea (investment ambayo ni ngumu kujua lini italipa)!!
Babu DC!!
Asante sana babu! Dark City
Not so fast..... baby steps!
One thing at a time sawa eeh.....:tongue: Bigirita
Kaizer hujambo....?Ukiona ivo ujue kumekucha tayari
RR niyo natakiwa ku-note for action later au....?Smiles RR anakupendaga? bila masharti....
Last edited by a moderator: