Maduka ya Tanganyika army iringa,mwanza,Arusha,Dar.na maduka ya Mzinga cooperationTuna zinunua wapi sasa?
Na bei ni ipi kwa aina zinazoruhusiwa?
Je kuna sheria za kumiliki silaha zingine au ni bunduki tu?
Mcheki tajiri side mkuuTuna zinunua wapi sasa?
Ndo nani huyu tena?Mcheki tajiri side mkuu
Sahihi mkuu. Alidanganya.Umetudanganya!
Mpaka upige risasi lazima kwanza safety lever (hiyo unayosema Usalama) iwe opened kwanza, koki( kuweka Chemba) then ndo u pull trigger. In most firearms huwezi kuweka Chemba without opening first the safety lever
Tanganyika arms Dar Moshi Arusha Iringa...Pia Jeshini Ngome Dar kuna DukaTuna zinunua wapi sasa?
Na bei ni ipi kwa aina zinazoruhusiwa?
Je kuna sheria za kumiliki silaha zingine au ni bunduki tu?
Isiyo na leseni ni mshale muonekano kama bastola na ile kubwa ndio inafanana na mshale. Hii kitu sikuizi wamepandisha bei balaa. Ilimenisaidia vibaka kuniogopakwa ambao wanataka bunduki bila leseni...bei gani?
Hii kwa mwezi??Hapo inategemea na factors nyingi za Hilo LINDO maana Kuna malindo ya aina nyingi kwenye local company mengi bunduki wenyewe wanaweza Uikodi bila MTU @350,000 mpaka 450,000
Kwenye kampuni locally bunduki na mtu kwenye LINDO inaweza kua wastani 650,000 mpka 750,000 Ni tofauti na LINDO la ginnery au vituo vya mafuta mtu na bunduki inaweza kua wastani 950,000 mpaka milioni moja na laki kadhaa
Ndio mkuuHii kwa mwezi??
Hahaha yani ni nunue kwanza halafu ni sumbuliwe kuimiliki?Tanganyika arms Dar Moshi Arusha Iringa...Pia Jeshini Ngome Dar kuna Duka
...baada kununua ...unaanza mbilinge za leseni sasa balaa ndio lipo hapo....
.....kwenye fomu utajaza aina gani plys risiti ya manunuzi ipi ? Nadhani sio lazima ukiona huwezi subiri.paleeeHahaha yani ni nunue kwanza halafu ni sumbuliwe kuimiliki?
Kwanini nisishughulikie umiliki kwanza kisha ndio ninunue, kwanini waniuzie halafu wanisumbue wakati manunuzi ni halali na naambatanisha na nyaraka zote za kwao serikali?