Zijue style na access zake, usalama wakati wa tendo la ndoa

Heshima ya tendo la ndoa kwa mwanamke wa kiafrika ni kifo cha mende. Maana anakuwa anapewa penzi kwa heshima.

Hii habari ya kuinamisha mwanake alafu kila kitu kinakuwa wazi kwa nyuma sio ustaarabu.
Hiyo heshima aliweka nani? Umewainamisha wa ngapi? Kwa lengo gani? Hujawainamisha,umejuwaje wanainamishwa?
 
Jaribu uone hii style ni tamu mno.....Halafu ndoani hakuna style inatakiwa muiache au mbaniane, sukuma yote hadi urizike.

Iwe sebureni, chumbani,jikoni au sakafuni tafuta style itakayowafaa ilimradi tu muwe faragha pekee yenu πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹
 
Heshima ya tendo la ndoa kwa mwanamke wa kiafrika ni kifo cha mende. Maana anakuwa anapewa penzi kwa heshima.

Hii habari ya kuinamisha mwanake alafu kila kitu kinakuwa wazi kwa nyuma sio ustaarabu.
Unamtia mwanaume majaribuni kwasababu unamuonyesha njia mbili! Moja ni njia ya uzima na nyingine ya mauti! Mjia ya asili (kifo cha mende inaonyesha njia ya uzima tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…