Zijue taratibu za kufuata ili kufungiwa umeme na TANESCO

Hivi inakuwaje nimelipia umeme toka mwezi wa tatu tarehe 18/03/2019 ila mpaka leo sijapata umeme ????
 
Hivi inakuwaje nimelipia umeme toka mwezi wa tatu tarehe 18/03/2019 ila mpaka leo sijapata umeme ????
Wilaya

Eneo

Namba ya simu

Jina ulilolipia

Kiasi ulicholipa tafadhali
 
Fika ofisin tafadhali mpendwa mteja

Process zenu ndefu sana. Utafkiri mtu anafungua kampuni. Watanzania bwana tunapenda kuchoshana tu. Mpe mtu form ajaze, peleka watu wako wakasurvey bila kuchelewa and then mwekee umeme.
 
Kusema ukweli sijaona mtu aliyeiongelea vizuri tanesco.
Hivi nyinyi tanesco mnajua kuwa hata huku mtaani watu wakijua unafanya kazi tanesco wanakuchukia sana.
Badilikeni na kama hamtaki huo sio ubinadamu.
 
Tanesco Dodoma siku ya nne leo wateja hatupati huduma, tunajibiwa kua mtandao hakuna?

Pengine wawezakutusaidia kinagaubaga. Nini hasa tatizo? Ni kweli kwamba mmeshindwa kufix network issue kwa cku nne zote...!!!?? Au kuna yaliyojificha?
 
TANESCO ni nina mwaka mmoja na miezi minne tangu nilipoandika na kuwasilisha katika moja ya ofisi zenu barua ya kuomba kubadilishiwa mita ya luku iliyofungwa ndani ili kufungiwa mita nyingine mnazofunga nje huku zikitumia remote kujaza units zilizonunuliwa. Je, ni sahihi kupita muda wote huo pasipo TANESCO kubadilisha mita hiyo au hata kujibu barua hiyo niliyowaandikia?
 
Naenda kuanza mchakato wa kuingiza umeme nyie tanesco. Tunaanza kuhesabu siku pamoja ili tuone
 
Tanesco Dodoma siku ya nne leo wateja hatupati huduma, tunajibiwa kua mtandao hakuna?

Pengine wawezakutusaidia kinagaubaga. Nini hasa tatizo? Ni kweli kwamba mmeshindwa kufix network issue kwa cku nne zote...!!!?? Au kuna yaliyojificha?
Dodoma sehemu gani?

Namba ya simu

Tatizo tafadhali
 
Jina

Eneo

Namba ya sim

Wilaya tafadhali
 
Dodoma mjini.
0716897753
Tatizo ni kwamba nimefika kwenye hatua yakulipia ili ningojee kuja kufungiwa umeme. Natakiwa nipewe reference number, kila siku tangu jumatatu najibiwa mtandao hakuna.
Dodoma sehemu gani?

Namba ya simu

Tatizo tafadhali
 
Kuna jambo limeniumiza to the maximum baada ya jitihada zetu za kuweza kujumuishwa kwenye miradi ya REA kugonga mwamba, tukajikusanya vijana kadhaa ili tuweze kuchanga pesa kidogo kidogo hata iwe ndani ya miaka kadhaa tuvute umeme, ili tubidi twende tanesco ili kuulizia gharama ya nguzo. Mbali na masuala ya bei ya kawaida kilichotuchosha ni kwamba tuliambiwa nguzo tutauziwa nguzo mbili kwa shilingi 450,000/= lakini pale tulipokuwa tunahitaji kuweka umeme kutoka kwenye source ya umeme zinatakiwa nguzo takriban 40, tukapanga tugawane pesa inayotakiwa ili tupate nguzo hizo, lakini tuliporudi tanesco ili kupata mchanganuo zaidi, tuliambiwa Hivi "ikisha zidi nguzo mbili kutoka kwenye source basi mteja hauziwi nguzo ktk bei za kawaida bali huuziwa nguzo kama ni kwa ajiri ya MRADI, hivyo zikishazidi nguzo mbili gharama huingia jumla ya shilingi 2,800,000/= tuliishiwa nguvu, hatukutaka tena kuzungumzia tena masuala ya umeme bali tuliridhika kuwa UMEME ni kwa ajili ya watanzania wengine tena wateule siyo sisi. Sasa humu naomba msaada kwanini mnatufikisha hatua hiyo? Umeme huu kwa hali hii ni Watanzania wangapi wanaweza kujivutia umeme? Tanesco mmeamua kutubagua watanzania ? Je, mnataka vijiji/ vitongoji ambavyo havina umeme wala havimo kwenye mpango wa REA vikae gizani miaka yote? Naomba msaada hata wa mawazo kwani miaka karibia mitatu humu nawaeleza juu ya uhitaji wetu wa umeme kwenye Kitongoji chetu lakini sijawahi kupata hata msaada tofauti na kuambiwa kuwa suala lako linashughulikiwa.
 
Reactions: SIM
Dodoma mjini.
0716897753
Tatizo ni kwamba nimefika kwenye hatua yakulipia ili ningojee kuja kufungiwa umeme. Natakiwa nipewe reference number, kila siku tangu jumatatu najibiwa mtandao hakuna.
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…