Zijue taratibu za kufuata ili kufungiwa umeme na TANESCO

Zijue taratibu za kufuata ili kufungiwa umeme na TANESCO

Wee kishoka vipi? Taja bei za kuunganisha umeme kulingana na umbali
Bei inategemea na umbali hivyo ndank ya mita 30 ni 321000 mijini na 177000 vijijini.ikizidi hapo inategemea na umbali uliopo
 
Gharama ya separeti mita za chumba kimoja zipo, na kama zipo ni kiasi gani mteja anatakiwa kulipa ila afanye matumizi ya kiwango cha chini cha nyumbani?

gharama ya kufunga mita ya pili kwenye nyumba moja ni jumla ya shilingi 320,960 (mjini) na shilingi 177,000 (vijijini) gharama zote pamoja na kodi ya serikali
 
Kama hujawahi pata usumbufu ktk taasis ya serikali.
Kaombe kufungiwa umeme tanesco utazungushwa sio foreman, meneja au kibarua wanakuzungusha tu mpka unawaambia wakurufishie hela wanakataa.


tafadhali Eng_CNT je wewe umewahi kupata tatizo hilo? kama sawa je ulipata mkoa,wilaya gani?
 
Mbona nikinunua umeme risiti hainoshi jina langu kama kwa wengine?
 
tafadhali Eng_CNT je wewe umewahi kupata tatizo hilo? kama sawa je ulipata mkoa,wilaya gani?
Ndio tatizo nililonalo sasa
Nmelipia umeme Tanesco Himo K'njaro tarehe 19/10/2016 mpka leo tareh25/04/2017 (zaidi ya miezi6) sijaona hata nguzo nmeripoti kwa meneja himo mara kumi ananizungusha tu....
Application form
Yenye application number 0000556510


Nimechoka sasa naazamia kuandika barua kwenda kwa mkurugenzi wa Tanesco na Katibu mkuu wa wizara

Nimechokaa kuzungushwa tanesco
 
Asanteni sana TANESCO kwa taarifa hii japo mmeitoa kwenye mtandao ambao hautambuliwi na serikali, maajabu Tanzania hayaishi
 
Ndio tatizo nililonalo sasa
Nmelipia umeme Tanesco Himo K'njaro tarehe 19/10/2016 mpka leo miezi tareh15/04/2017 sijaona nguzo nmeripoti kwa meneja himo ananizungusha tu....
Kwajina application numbe 0000556510
Tumeipokea mpendwa mteja
 
Hao watoe taarifa hapo Himo (kama sijakosea) kuna low voltage na Tanesco watafanya Voltage improvement kwa ku upgrade size ya transformer au kuweka TF jingine
Yale ni majipu yaliyoiva mdau kwani unafikiri hawajui hii taarifa ilishawahi kurushwa hadi I.T.V manake unakuta yale matransifoma yao yalifungwa tooka enzi za mkoloni na lipo moja tu linahudumia vijiji karibu 5 unatarajia nini hapo na nyumba kila siku zinajengwa na mahitaji kuongezeka wanajua sema uwajibikaji ni sifuri
 
Back
Top Bottom