jay-millions
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 3,983
- 10,034
Wee kishoka vipi? Taja bei za kuunganisha umeme kulingana na umbaliM
Tumepokea malalamiko yako, tunaomba utu inbox details ili tuweze kufuatilia. Asante
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee kishoka vipi? Taja bei za kuunganisha umeme kulingana na umbaliM
Tumepokea malalamiko yako, tunaomba utu inbox details ili tuweze kufuatilia. Asante
Gharama ya separeti mita za chumba kimoja zipo, na kama zipo ni kiasi gani mteja anatakiwa kulipa ila afanye matumizi ya kiwango cha chini cha nyumbani?
Kama hujawahi pata usumbufu ktk taasis ya serikali.
Kaombe kufungiwa umeme tanesco utazungushwa sio foreman, meneja au kibarua wanakuzungusha tu mpka unawaambia wakurufishie hela wanakataa.
Ndio tatizo nililonalo sasatafadhali Eng_CNT je wewe umewahi kupata tatizo hilo? kama sawa je ulipata mkoa,wilaya gani?
Tumeipokea mpendwa mtejaNdio tatizo nililonalo sasa
Nmelipia umeme Tanesco Himo K'njaro tarehe 19/10/2016 mpka leo miezi tareh15/04/2017 sijaona nguzo nmeripoti kwa meneja himo ananizungusha tu....
Kwajina application numbe 0000556510
Samahani. Je distance kati ya nguzo na nguzo ni meter ngapi?Inaonyesha jina gani?tunaomba namna yako ya mita
Niambie mnanisaidiaje?? Kuipokea hata yule meneja himo huwa ananipa kauli za kisiasa mara10 zaidi nmefika nazungushwaTumeipokea mpendwa mteja
Ina maana hajafika ofisini?Fika ofisin tafadhali mpendwa mteja
Nipe jina la hii application na 0000556510 na utachukua hatua gani na lini nitafungiwa umeme??Itafanyiwa kazi mpendea mteja
Haioneshi jina lolote Mkuu, METER no 54151154827Inaonyesha jina gani?tunaomba namna yako ya mita
Kama hutojali naomba namba ya mkurugenzi mkuu wa Tanesco Dk. Titus MwinukaItafanyiwa kazi mpendea mteja
Yale ni majipu yaliyoiva mdau kwani unafikiri hawajui hii taarifa ilishawahi kurushwa hadi I.T.V manake unakuta yale matransifoma yao yalifungwa tooka enzi za mkoloni na lipo moja tu linahudumia vijiji karibu 5 unatarajia nini hapo na nyumba kila siku zinajengwa na mahitaji kuongezeka wanajua sema uwajibikaji ni sifuriHao watoe taarifa hapo Himo (kama sijakosea) kuna low voltage na Tanesco watafanya Voltage improvement kwa ku upgrade size ya transformer au kuweka TF jingine