Zijue taratibu za kupima DNA, gharama ya kipimo ni Tsh.100,000/=

Mtoto wa kwangu.
Pesa natoa za kwangu.

Huko kwa Afisa ustawi wa Jamii kwa kazi gani kama siyo kuleteana Umbeya tu?
Afisa maendeleo ya jamii huwa anapeleka maombi na recommendation ya anachokiona kina ustawi wa jamii hasa kwa upande wa mtoto kama issue inahusu mtoto baada ya kuteta na mama mtoto kwa siri. Kama mtoto ni wako biologically lakini wewe ni kapuku na kuna baba mwingine anayehisiwa na yupo vizuri kiuchumi, wanabadili majibu. Na kama hakuna anayehisiwa ila inawezapelekea kusambaratika kwa familia(ndoa), DNA itasoma mtoto ni wako hatakama siyo.
 
Utaratibu wa kupima kenya ukoje ?


Na majibu hayo yanatambulika nchini endapo mama mtoto ataamua akushtaki baada ya kumtelekeza mtoto ambaye umejua si wako ?
 
Wanajua tu kitakachofuata baada ya kupima.

Watoto wengine na mama zao wataachwa huko huko kwa mkemia mkuu.

Don't try this at home.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yaani weka mbali na familia yako. Au usijaribu nyumbani kwako.

Jomba umenena, maana kama si kuachwa kwa mkemia basi kuna vifo vitafuata.

Fikiria umelea kwa upendo miaka kumi halafu unagundua ni mtoto wa lijinga fulani na linakuzoo tu.

Napiga sumu mama na mwanae.
 
Hamna ugombanishi kupima DNA muhimu

Mambo ya kubambikiana watoto yamepitwa na nyakati
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Naam Naam naku support kabisa [emoji16]
 
Kulea mtoto sio shida

Usaliti ulioleta mtoto ndo kitu ambacho binafsi siwezi kuvumilia

Km siwezi kumsamehe mwanamke msaliti kwanini nilee zao lake
Sindio hapo [emoji38]
 
Inatakiwa iwe hata elfu 20,000 ili kila mtu awajibike na matendo yake. Kama ni mwanaume au wachepukaji basi wabebe majukumu yao ya ulezi.
 
Hii ni mbaya sana.....hii mianamike yenye tamaa za kuto.mbesha nje ya ndoa itakuja kutuua kwa presha.
 
Hizi milolongo yote Ni harakati TU za serikali kumlinda mwanamke, Hadi kwenye Mambo ya hovyo[emoji3525].
Kweli kabisa mkuu. Hii serikali yenu ni ya kiqumer sana
 
U
Ushafanya research ya kuhusu gharama?
 
Mauaji yatazidi ktk familia...

Maana mama ndo anajua baba wa mtoto...

Na wanawake wanasiri...

Mungu tusamehe
Tayari una mtoto nje ya ndoa, mwanamke kahaba na Malaya kama wewe sio wa kuishi.
 
mi naamini wanaopinga huu mjadala na kuuona haufai ni wale wasio na uwezo wa kuzalisha au kuzaa,,, maana ka unajiamini kuna faida kuu mbili mosi; ni wanawake kuwa waminifu kw waume wao has majira ya kubeba mimba/ujauzito na mbili kutoq mashaka kwa mtt wako na kuwajibika ipasavyo kumtunza na kila kitu paspo mashaka yyte yale ko mm nasport kipmo hiki kiwepo kabisa tena ikiwezekana mtt anapozaliwa tu kipime hapo hapo na kubaini ukwel,, yani iwe lazima kama kupima "HIV" kwa wazaz wote kipind cha klinic...ko kwa wale wanaotegemea wake zao wawatafutie wtt hapa hawatakaa na watapinga mpk tone lao la mwisho DNA isiwepo hahaha..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…