OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Hellow wakuu,
Leo niliona uzi humu mdau mmoja akiomba msaada wa dawa asili za kuondoa tatizo la kukosa usingizi Anayejua dawa za asili kutibu tatizo la kukosa usingizi (insomnia) anisaidie nateseka
Nimeona nianzishe uzi huu ili kila mtu aone na aelimike ikibidi asaidike,
Kukosa usingizi sio ugonjwa ni dalili ya ugonjwa, wakati mwingine huchangiwa na matumizi ya vyakula au vitu vinavyofukuza usingizi mfano kahawa
Kikawaida binadamu anapaswa kulala masaa 6 hadi 8 ili akili ipumzike.
Ktk ubongo wa binadamu michskato ya usingizi hufanyika ktk hypothalamus, hypothalamus huzalisha hormones mbili zinazohusika na masuala ya kulala na kuamka, hormones hizo ni cortisol na melatonin
Cortisol huzalishwa wakati wa asubuhi na mchana, hii hormones humfanya mtu awe ktk hali ya kuamka
Melatonin huzalishwa wakati wa usiku, hii hormone humfanya mtu asinzie
Hizi hormones huwa zimebalance, sometimes huzalishwa mchana, ndo unaona mtu anasinzia kazini
Kukiwa na imbalance mtu atakosa usingizi
TIBA YAKE
1. Chai yenye tangawizi nyingi na pili pili manga (usiweke sukari).
Unachemsha tangawizi iliyo rojo na pili pili manga. Unakunywa nusu kikombe asubuhi na jioni.
Hii itakufanya uwe na utulivu wa akili inatumika sana kutibu wagonjwa wa akili ktk tiba asili
2 Juisi ya ndizi za kisukari na makale.
Makale ni majani fulani yanapatikana maeneo ya nyumbani angalia picha hapo chini
Unayatwanga hayo majani yanakuwa kama kisamvu kisha unayaloweka ktk maji masafi ya kunywa jagi moja, unasaga juisi ya ndizi za kisukari kisha unaichanganya pamoja na ile uliyoloweka kwenye jagi, unaziacha zikae hata dakika 10 kisha unachuja
Hiyo juisi ndio dawa, unakunywa nusu kikombe kila siku usiku,
3 Mabilinganya
Unakula mboga yenye mabilinganya . Unayapika kama mboga
4. Uji wa ulezi, unakunywa usiku (hapa wanafunzi au waliopita shule za bweni watanielewa haraka haihitaji maelezo)
5. Kazi za kuuchosha mwili mfano kulima, kukimbia kutembea umbali mrefu n.k
Nakaribisha maswali
Nawasilisha