Zijue tofauti za kihuduma na Maslahi kati ya Zanzibar na Tanganyika

Zijue tofauti za kihuduma na Maslahi kati ya Zanzibar na Tanganyika

Wamejazana bara kutafuta nini kama hawautaki? tumegeuzwa koloni la Zanzibar sababu hatuna umoja na akili hatuna
Ndiyo maana hata rais wa Tanganyika ni mzanzibar na wazanzibar wanagombea urais huko Tanganyika kama vile watanganyika hawapo.
Mfano katika vyama 18 vyote kuna mzanzibar anagombea urais wa Tanganyika au ni mgombea mwenza.
 
Unabishana na mimi mambo ya matibabu. Unaakili kweli wewe ?

Nimefanya kazi na ZNZ miaka mingi and nime wa train sana doctors wa ZNZ nikiwa pale Ocean road . As specialist kwenye Oncology

Health system ya Zanzibar ipo kiganjani kwangu. Matibabu ni BURE ZANZIBAR for as long as wewe ni Mzanzibar
Mmmhhh
 
Vipi kuhusu huduma ya maji!?
Na wao wanauziwa huduma ya maji machafu kama DAWASA wanavyotuuzia huduma ya maji machafu Watanganyika wa maeneo ya ukanda wa Pwani?

IMG20250831083454.jpg
 
Huu muungano wa kishetani uvunjwe haraka, ndiyo maana mimi wazanzibar siwapendi hata kuwaona tu siwataki

Wazanzibari katika yote hapo juu kosa lao binafsi liko wapi? Nadhani hilo sio kosa wala tatizo la Wazanzibari. Au ni wazanzibari ndio walitufuata kutaka muungano na sisi?

Mara nyingi kuna Islamophobia inayofichwa nyuma ya "uzalendo wa kitanganyika" na "kuwachukia wazanzibari"
 
Huduma ya maji zanzibar ni BURE. Maji yanayoka mpaka vijijini free
Huku kwetu tunauziwa, tena ni machafu kwelikweli.
Watu fangasi za sehemu za siri haziishi, maradhi ya matumbo ni sehemu ya maisha yetu ya kila siku kwasababu ya maji taka tunayouziwa na DAWASA.
 
Halafu pamoja na kuwalisha koote huku,, ni wabaguzi kama mashetani.

Sasa hivi yanashiba mpaka kuvembewa huyasikii popote na kero za muungano.
Mnawalisha bure?
Si wananunua kwa hela zao.
 
Wazanzibari katika yote hapo juu kosa lao binafsi liko wapi? Nadhani hilo sio kosa wala tatizo la Wazanzibari. Au ni wazanzibari ndio walitufuata kutaka muungano na sisi?

Mara nyingi kuna Islamophobia inayofichwa nyuma ya "uzalendo wa kitanganyika" na "kuwachukia wazanzibari"
Ni wabaguzi sn, vyao kwao haviguswi na mtanganyika yoyote ila sisi ni cha wote
 
Halafu pamoja na kuwalisha koote huku,, ni wabaguzi kama mashetani.

Sasa hivi yanashiba mpaka kuvembewa huyasikii popote na kero za muungano.
Kero yao ilikuwa ni kubeba pesa za watanganyika, sahivi wamejaa kwenye sehemu nyeti zote (BoT, Bandarini, TRA, Mambo ya nje, Ikulu, TANAPA, TCRA, LATRA n.k kila sehemu nono wapo hata kama siyo ya muungano wao wapo wengi. Shame on us
 
Back
Top Bottom