Zijue tofauti za kihuduma na Maslahi kati ya Zanzibar na Tanganyika

Haya mambo yanachekesha na kustaajabisha kweli kweli.
 
Wazanzibari katika yote hapo juu kosa lao binafsi liko wapi? Nadhani hilo sio kosa wala tatizo la Wazanzibari. Au ni wazanzibari ndio walitufuata kutaka muungano na sisi?

Mara nyingi kuna Islamophobia inayofichwa nyuma ya "uzalendo wa kitanganyika" na "kuwachukia wazanzibari"
Sasa why wawachape watu wanaokula mchana kule wakat waramadhan

Unajua ni kiasi gani watu wame fait hadi leo unaona kuna makqnisa maeneo ya znz, unajua ni makqnisa mangapi wamechoma moto?
Hata huyo Mwinyi wqnqmkataa wanadai sio mzenji… jamaa wabaguzi and ignorants

Hivi huku ulaya wangekuwa na akili kama hizo kuna muarabu qngefika ulaya?

Jamaa hawana uwezo wa ku tolerate other faiths…. And that should tell
You something manaa dunia haiwezi kuwa na Muslims tu …. Haitoweza kuja kutokeq…. So you must learn to respect others
Dunia inawatu Bil 8 , Muslims are not mqking 1.7 B Of the total world population

Shida ni mafundisho ya kiislqm very aggressive and hateful

Kwa mfano mtoto anqfundishwa KAFIRI NI ADUI YAKO na usimpemde mana kafiri hajawahi kumpenda Muslims

YEYOTE ASIE MUISLAM ATAENDA MOTONI
Na Allah hampendi kafiri na atamfanya kuwa kuni za jahanam

teaching kama hizo kwa mtoto ni ku create bomu ambalo waislam wqpo ivo kwq sababu wqpo ivo
 
Huenda ni kweli sina akili, lakini kutokuwa kwangu na akili hakukupi wewe haki ya kusema uongo. Wewe ni muongo mzandiki.

Mkuu hii statement yako sasa, inaonesha wewe ndo huna akili. Hivi Ocean Road iliyoko Dar inahusianaje na Zanzibar? Ulikuwa na akili timamu ulipoandika hii?

Wacha kujifanya unaijua health system ya Zanzibar! Actually you are ignorant of the Zanzibar health system. Stop pretending or else you will be deceiving yourself and those who are of your kind.
Uliposema tu Ocean Road haihusiki na zanzibar ndio nimejua we ni bogus

Nakupa Assignment nenda Hosp ya Mnazi mmoja Zanzibar kawaulize mnahusika vipi na
Ocean Road na kwanini mnaenda ocean Road kwa training?

Usiache kuja kuqndikq majibu hapa . Kishq urudie ku soma post

Sawa dogo?
 
Ni sahihi hata hii serikali ya kipumbavu chanzo ni mwalimu

Honestly , sijawahi kumuona mwalimu as great leader . I can bet JPM was far better .
JPM alikuwepo, alifanyia nini kwenye huo muungano?
Wote ni useless leaders tu ninavyo waona
 
Sasa why wawachape watu wanaokula mchana kule wakat waramadhan

Unajua ni kiasi gani watu wame fait hadi leo unaona kuna makqnisa maeneo ya znz, unajua ni makqnisa mangapi wamechoma moto?
Hata huyo Mwinyi wqnqmkataa wanadai sio mzenji… jamaa wabaguzi and ignorants

Hivi huku ulaya wangekuwa na akili kama hizo kuna muarabu qngefika ulaya?

Jamaa hawana uwezo wa ku tolerate other faiths…. And that should tell
You something manaa dunia haiwezi kuwa na Muslims tu …. Haitoweza kuja kutokeq…. So you must learn to respect others
Dunia inawatu Bil 8 , Muslims are not mqking 1.7 B Of the total world population

Shida ni mafundisho ya kiislqm very aggressive and hateful

Kwa mfano mtoto anqfundishwa KAFIRI NI ADUI YAKO na usimpemde mana kafiri hajawahi kumpenda Muslims

YEYOTE ASIE MUISLAM ATAENDA MOTONI
Na Allah hampendi kafiri na atamfanya kuwa kuni za jahanam

teaching kama hizo kwa mtoto ni ku create bomu ambalo waislam wqpo ivo kwq sababu wqpo ivo

Hayo yote yanahusiana nini na uliyaanzishia uzi? Wazanzibari wana kosa gani katika yale uliyayaanzishia uzi? Waliwafuata muungane nao?

Na Waislam wa Zanzibar watabaki kuwa ndugu zetu sisi Waslam wa Bara.

Mengine naona ni maneno meeeeengi umeniandikia.
 
Yote ni sawa, kumbuka wazanzibari wote ni watanzania
 
Yote yanatokana na muundo wa muungano na wala hakuna ubaguzi wowote.

As long as hakuna Serikali ya Tanganyika tutaendelea kuona Wazanzibar ni wabaguz.

Wazanzibar kama watanzania wengine wana haki ya kupata huduma kutoka ktk Serikali ya Jamhur ya Muungano wa TANZANIA.
 
1. Huduma za kiafya Zanzibar ni bure for as long as unakitambulisho cha mkazi wa Zanzibar. Matibabu na dawa za Figo, Kansa na magonjwa yote ni bure. Gharama yako ni nauli ya kufika Hospital. Kwa Tanganyika hakuna matibabu bure, kama umefanikiwa kuwa na Bima itakuwa ni faida kwako. Kati ya watanganyika takribani 58M , wenye Bima hawazidi asilimia 18…. Hii inamaana zaidi ya 80% ya watanganyika wanapaswa kutumia fedha zao kwenye afya

2. Ushuru wa magari, kwa mfano kuitoa IST zanzibar ni Kati ya 2.5 hadi 3.5 aidha kwa bara kuitoa IST ni takriban 5.7 hadi 6.4M

3. Mzanzibar anaweza kuajiriwa kwenye serikali ya mapinduzi na
serikali ya Jamhuri kwa mfano, mbunge wa makunduchi anao uhuru pia wa kugombani ubunge wa eneo lolote la Tanganyika au mtumishi wa serikali ya mapinduzi anaweza kuingia kwenye serikali kuu ya Jamhuri.Hii ni ngumu Sana Mtangqnyika kuingia Serikali ya mapinduzi na kuhodhi vyeo

3. Umiliki wa Ardhi, Mzanzibar anayohaki ya kumilili ardhi Zanzibar na Tanganyika; kwa Mtangqnyika ni ngumu kuhodhi ardhi ya zanzibar unless ushirikiane na Mzanzibar mwenye kitambulisho cha makqzi ya Zanzibar

4 Mali asili za Tanganyika kama madini na mafuta ni mali za URT, mali za Islands sio mali za URT . Mfano gesi
Iliyogundulika ZNZ sio mali ya URT but gesi ya Mtwara ni mali ya Tanganyika na ZNZ

5. Bandari ya Dar es salaam na Bandari zote Tanganyika ni bandari za URT ila bandari ya Zanzibar sio Bandari ya URT na mapato yake yanainufaisha zanzibar tu . Aidha, Bandari ya DSM imeuzwa kwa waarabu na kupelekea gharama za bidhaa kupanda snaa maana jamaa wanadai wanatumia vifaa vya kisasa hivyo lazima kodi iwe juu. Kwa wale wanaoagiza bidhaa nje watathibitisha hili. However, maumivu haya ya kupanda kwa bei hayahusiani na Zanzibar

6. Deni , fedha zinapokopwa na Serikali ya URT , fedha hizo pia zinaenda kuinufaisha sehemu ya ZNZ ikiwa ni sehemu ya URT. Ila kwenye malipo, Serikali ya URT inatumia resources za Tanganyika kufanya malipo ya deni hilo. Halikadhalika, pesa zinazokopwa na Zanzibar ni kwa ajili ya matumizi ya Zanzibar tu

7. Mkopo wa HELSB. Zanzibar wanapata Mkopo wa HELSB kwa asilimia 100 , lakini pia kuna fungu la serikali ya mapinduzi inawapatia kama gharama za kujikimu. ( study allowance and accommodation) Kadhalika, Mtangqnyika anapata mkopo kwa asilimia, wapo watakaopata 100 na asilimia 80, etc lakini pia hawana access nyingine na hawawezi kuingia kwenye study allowance ya Zanzibar

8. Scholarships, Scholarships za kusoma nje kwa ajili ya URT Mzanzibar ataomba kama atakavyoomba mtangqnyika na wote watagombania, lakini kuna scholarship zinazokujq kwa ajili ya zanzibar tu , hizo haziwi shared tanganyika na mtanganyika huwezi kuzijuq wala kuziomba. Only for Zanzibars chini ya SMZ

Taifa bado linachangamoto nyingi
Acha kupotoa, ukipata mkopo wa heslb hupata hata mia ya zheslb
 
Jamaa yupo sahihi kabisa , wanatupurura kila kitu hata sasa kiongozi mkuu Mzanzibar kwa URT na Kule kwao mzanzibar
 
Kero yao ilikuwa ni kubeba pesa za watanganyika, sahivi wamejaa kwenye sehemu nyeti zote (BoT, Bandarini, TRA, Mambo ya nje, Ikulu, TANAPA, TCRA, LATRA n.k kila sehemu nono wapo hata kama siyo ya muungano wao wapo wengi. Shame on us
Wanaingia huko kama watanzania
 
1. Huduma za kiafya Zanzibar ni bure for as long as unakitambulisho cha mkazi wa Zanzibar. Matibabu na dawa za Figo, Kansa na magonjwa yote ni bure. Gharama yako ni nauli ya kufika Hospital. Kwa Tanganyika hakuna matibabu bure, kama umefanikiwa kuwa na Bima itakuwa ni faida kwako. Kati ya watanganyika takribani 58M , wenye Bima hawazidi asilimia 18…. Hii inamaana zaidi ya 80% ya watanganyika wanapaswa kutumia fedha zao kwenye afya

2. Ushuru wa magari, kwa mfano kuitoa IST zanzibar ni Kati ya 2.5 hadi 3.5 aidha kwa bara kuitoa IST ni takriban 5.7 hadi 6.4M

3. Mzanzibar anaweza kuajiriwa kwenye serikali ya mapinduzi na
serikali ya Jamhuri kwa mfano, mbunge wa makunduchi anao uhuru pia wa kugombani ubunge wa eneo lolote la Tanganyika au mtumishi wa serikali ya mapinduzi anaweza kuingia kwenye serikali kuu ya Jamhuri.Hii ni ngumu Sana Mtangqnyika kuingia Serikali ya mapinduzi na kuhodhi vyeo

3. Umiliki wa Ardhi, Mzanzibar anayohaki ya kumilili ardhi Zanzibar na Tanganyika; kwa Mtangqnyika ni ngumu kuhodhi ardhi ya zanzibar unless ushirikiane na Mzanzibar mwenye kitambulisho cha makqzi ya Zanzibar

4 Mali asili za Tanganyika kama madini na mafuta ni mali za URT, mali za Islands sio mali za URT . Mfano gesi
Iliyogundulika ZNZ sio mali ya URT but gesi ya Mtwara ni mali ya Tanganyika na ZNZ

5. Bandari ya Dar es salaam na Bandari zote Tanganyika ni bandari za URT ila bandari ya Zanzibar sio Bandari ya URT na mapato yake yanainufaisha zanzibar tu . Aidha, Bandari ya DSM imeuzwa kwa waarabu na kupelekea gharama za bidhaa kupanda snaa maana jamaa wanadai wanatumia vifaa vya kisasa hivyo lazima kodi iwe juu. Kwa wale wanaoagiza bidhaa nje watathibitisha hili. However, maumivu haya ya kupanda kwa bei hayahusiani na Zanzibar

6. Deni , fedha zinapokopwa na Serikali ya URT , fedha hizo pia zinaenda kuinufaisha sehemu ya ZNZ ikiwa ni sehemu ya URT. Ila kwenye malipo, Serikali ya URT inatumia resources za Tanganyika kufanya malipo ya deni hilo. Halikadhalika, pesa zinazokopwa na Zanzibar ni kwa ajili ya matumizi ya Zanzibar tu

7. Mkopo wa HELSB. Zanzibar wanapata Mkopo wa HELSB kwa asilimia 100 , lakini pia kuna fungu la serikali ya mapinduzi inawapatia kama gharama za kujikimu. ( study allowance and accommodation) Kadhalika, Mtangqnyika anapata mkopo kwa asilimia, wapo watakaopata 100 na asilimia 80, etc lakini pia hawana access nyingine na hawawezi kuingia kwenye study allowance ya Zanzibar

8. Scholarships, Scholarships za kusoma nje kwa ajili ya URT Mzanzibar ataomba kama atakavyoomba mtangqnyika na wote watagombania, lakini kuna scholarship zinazokujq kwa ajili ya zanzibar tu , hizo haziwi shared tanganyika na mtanganyika huwezi kuzijuq wala kuziomba. Only for Zanzibars chini ya SMZ

Taifa bado linachangamoto nyingi
Wakuu elimu Zanzibar bado ni ndogo sana.. acha waongezewe motisha ya siku nimeenda duration mzee nimenunua vitu vya 6k chenxhi ya kunipa katumia calculator.. sitanii wakeup, angalia hata NECTA Zanzibar wazazi wengi swala la elimu Dunia wanalipuuza sana
 
Megalodon ,Benjamini Netanyahu jaribuni kupunguza chuki coz bandiko lako Megalodon limejaa chuki, hasira, jazba, mhemko,papara na visasi.Mara nyingi ukiwa na vitu hivi huwezi kuwa mkweli.

Kila Mzanzibari ni Mtanzania ila siyo kila Mtanzania ni Mzanzibari.Ukilijua hili hupati tabu.

Kuhusu Nyerere: Alicheza kama pele kuhusu muungano coz of vita vya kimslahi baina ya West vs Mashariki kwa wakati huo.

Historia huwa na mtindo wa kujirudia: Kinachotokea Ukraine ndicho wakubwa wa dunia walitaka kiwe hivyo kwa Zanzibar.

Zanzibar ilitakiwa itumike kama uwanja wa kugombania ufalme baina ya West vs Mashariki.Unafikiri Tanganyika ingepona????? Ungekuwa wewe ungefanyaje??

Kero kuhusu Muungano: Duniani kote hakuna muungano usiokosa kero.Mara nyingi hizi kero hutatuliwa kulingana na nyakati husika.Muungano huu umetatua kero mbalimbali na kero huwa haziishi leo wala kesho!
 
Back
Top Bottom