Megalodon ,
Benjamini Netanyahu jaribuni kupunguza chuki coz bandiko lako
Megalodon limejaa chuki, hasira, jazba, mhemko,papara na visasi.Mara nyingi ukiwa na vitu hivi huwezi kuwa mkweli.
Kila
Mzanzibari ni Mtanzania ila siyo kila
Mtanzania ni Mzanzibari.Ukilijua hili hupati tabu.
Kuhusu Nyerere: Alicheza kama pele kuhusu muungano coz of vita vya kimslahi baina ya
West vs
Mashariki kwa wakati huo.
Historia huwa na mtindo wa kujirudia: Kinachotokea
Ukraine ndicho wakubwa wa dunia walitaka kiwe hivyo kwa Zanzibar.
Zanzibar ilitakiwa itumike kama
uwanja wa kugombania ufalme baina ya
West vs
Mashariki.Unafikiri Tanganyika ingepona????? Ungekuwa wewe ungefanyaje??
Kero kuhusu Muungano: Duniani kote hakuna muungano usiokosa kero.Mara nyingi hizi kero hutatuliwa kulingana na nyakati husika.Muungano huu umetatua kero mbalimbali na kero huwa haziishi leo wala kesho!