Uchaguzi 2020 Zikiwa zimebaki siku 20, wapinzani wanashindana huku akili na mioyo yao ikiamini mshindi ni Magufuli

Uchaguzi 2020 Zikiwa zimebaki siku 20, wapinzani wanashindana huku akili na mioyo yao ikiamini mshindi ni Magufuli

Amani Msumari

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2016
Posts
1,830
Reaction score
972
Zimebaki siku 20 tufikie uchaguzi. Hali ya mambo ni kuwa Tundu Lissu, Le profeseli Lipumba na wengine wengi akiwemo mzee wa mtama ni wazi kuwa hawa watu wamesanda.

Watu hawa wanashindana ili kutimiza wajibu. Magufuli hata angeamua kupunga tuu mkono, bado angepita kwa kishindo kutokana na mambo aliyowatendea watanzania. Kama wapinzani watapata walau wabunge 20 basi wakifika bungeni safari hii wabadilike, wafanye kazi kwa maslahi ya wananchi.

Viva Magufuli Viva
 
akishinda kihalali sawa, la sivyo patachimbika Lissu huwa hakubali kuonewa
Ushauri kwa wafuasi wa Tundu humu ndani mkaombe uwakala kwenye chama cheni mshuhudie atakavyopata kura0
Sio mkae ndani halafu mkishindwa mtafute sababu
 
CCM kwa mara nyingine inashinda uchaguzi huu kwa ngazi zote Urais, Ubunge na Udiwani. Vyama vya upinzani vijipange upya kwa ajili ya uchaguzi wa 2025.
2025 wapinzani wote wakakua wameshaunga mkono kurudi za Rais John Pombe Magufuli
Tuombeane uzima tuu na Jamiiforums iwepo ili tukutane hapahapa kukumbushana
 
Back
Top Bottom