Amani Msumari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,830
- 972
- Thread starter
- #21
Tena ushindi wa kishindoHabari ndio iyo Magufuli ushindi ni lazima.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena ushindi wa kishindoHabari ndio iyo Magufuli ushindi ni lazima.
Ushauri mujarabuUshauri kwa wafuasi wa Tundu humu ndani mkaombe uwakala kwenye chama cheni mshuhudie atakavyopata kura0
Sio mkae ndani halafu mkishindwa mtafute sababu
Habari ndio iyo Magufuli ushindi ni lazima.
Ushindi tayari tunao ila tunautaka ushindi wa kishindo.Hivi anakosaje kwa mfano
Watukanae tu hao sindio Hoja kwaokila anayetamani kutukanwa jukwaani hasa jf, anatakiwa kuwa na maono yako, umejiandaa?
Mtaani kwangu wale CHADEMA ilishakufaga kipindi kile walipomchukua Lowasa waliyekua wakimtuhumu kama fisadi papa. CUF waliogeuka na kuhamia ACT walikua hawazidi 20, jumapili kwenye kampeni ZA udiwani wa4 wamerudi nyumbani. Ujumbe wao kushabikia upinzani ni sawa na kushabikia Ile timu ya mpira inayofungwa kila siku na wao wamechoka kuishi bila rahaUshindi tayari tunao ila tunautaka ushindi wa kishindo.
Mimi pia nitamchagua Rais Magufuli kama watakavyofanya Watanzania wengi.Utamchagua wewe na familia yako
Majizi ndio ambayo hayatamchagua kwani ameyabana kwelikweli vile mzee hapatani na ufisadiNi wale majizi ndiyo watamchagua
Nitoe kabisa, siwezi kumpa kura yangu wala familia yangu, ndugu zangu, rafiki zangu wala ukoo wanguPamoja na watanzania wengine wanaojielewa na wenye uchungu na nchi hii
Hivi anakosaje kwa mfano
Haka kavideo katamuuuuu💥👌
Huo n udikitetaNitoe kabisa, siwezi kumpa kura yangu wala familia yangu, ndugu zangu, rafiki zangu wala ukoo wangu
Atashinda kwasababu ametutendea maajabu watanzaniaUsiseme atashinda kwa Mambo aliyofanya Kama unaamini atashinda Kuna sababu nyingine lakini sio kwa Mambo Fulani mazuri aliyofanya
Maajabu ya kupanda kwa vitu, Leo mabati bei juu, saruji 21,000 toka 13500 ya kikwete, no increment wala mishahara mipya, vizuriAtashinda kwasababu ametutendea maajabu watanzania