Uchaguzi 2020 Zikiwa zimebaki siku 20, wapinzani wanashindana huku akili na mioyo yao ikiamini mshindi ni Magufuli

Uchaguzi 2020 Zikiwa zimebaki siku 20, wapinzani wanashindana huku akili na mioyo yao ikiamini mshindi ni Magufuli

Sijui ni kujifariji au kujidanganya au kujitia upofu.

Unasema mkuu angepunga mkono tu, mbona hakupunga huo mkono?

Nadhani figisu zote zinazoendelea kama kuenguliwa wagombea, tume na kupendelea upande mmoja, Lissu kubugudhiwa n.k mnaziona.

Kama mnakubalika kiasi hicho kwa nini nguvu kubwa itumike? Kamapeni zenu zimekuwa maigizo tu na hakuna uhalisia watu wanaudhuria kwa wingi kwa ajili ya wasanii au usafiri wa bure na posho kidogo.

Niko mkoa fulan, wilaya fulani wakati mkuu anakuja watu huku wilayani kwa maelfu walisombwa na mabasi kwenda town kujaza uwanja, sasa najiuliza nguvu yote ya nini kama mnakubalika?

Najua kama una akili timamu unajua kabisa nini kinaendelea, nadhani ni maslahi binafsi ndo yanakufanya ujitie upofu, ila ukweli mnaujua na uko wazi.
CCM bila uchakachuaji bila wizi wa kura bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm ni weupe sana
 
CCM bila uchakachuaji bila wizi wa kura bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm ni weupe sana
Nyie hao uliowataja mtakuwa nao lini ili mshinde? Nadhani hamna haja hata ya kuwasumbua wananchi kama hamuamini ushindi bila hao.
 
Hakuna kitu kibaya kama kutumia Polisiccm mahakamaccm vibaya, kero namba moja kwa watanzania ni Tabia mbovu ya kuwabambikia kesi wafanyabiashara kutumia TRA kubambikiwa kodi kubwa kupewa kesi za uhujumu uchumi kuporwa pesa na mali zao kwa visingizio vya kutengeneza ili kuwakomoa, watu wana machungu na zile trilion 1.5 zimepigwa na CCM kisha wakamtoa CAG kafara, kuna ufisadi mwingi wa kutisha kwenye utawala huu wa kunyamazisha watu kuzuia uhuru wa vyombo vya habari na kufanya mikutano ya siasa kwa vyama vya upinzani.
 
Nyie hao uliowataja mtakuwa nao lini ili mshinde? Nadhani hamna haja hata ya kuwasumbua wananchi kama hamuamini ushindi bila hao.
Wapinzani wanashinda bila msaada wa Tumeccm kwani malaika toka mbinguni atawafunga kamba na kuwaduwaza ushetani wa CCM mpaka kura zikihesabiwa zote na Lisu kuingia ikulu ndipo watazinduka na kuendelea na ushetani wao
 
TBCCCM wanalipwa mishahara kwa pesa za walipa kodi wote cha ajabu sasa ni chombo binafsi cha CCM
 
Wapinzani wangapi wametangazwa kaka? Halafu kama tume haiko huru na itawatangaza wagombea wa CCM ni kwanini wapinzani wanashiriki uchaguzi huu? Simngeugomea?
Hakuna fair play kwenye uchaguzi huu kwani membe kaporwa pesa zote kafungiwa A/C zake zote na za ndugu zake na rafiki zake kila anayewasiliana nae anachunguzwa saa 24, uchaguzi umegeuka kuwa kero ya kuwatesa wagombea.
 
'We have no blazaz...Africa should move on their own... he's there to save thebploblemz of our people'
 
Siamini kama kuna mtu mwenye akili timamu anaweza kuchagua jitu katili namna hii
Pia sidhani kama kuna mtu ambae ana mapungufu kama mwanaume na anataka apewe haki yake kwa mapungufu hayo amabyo ni dhambi kwa mwenyezi mungu, namaanisha shg
Hawawezi kumpigia Dr JPM
Ila tutampigia sisi wanaume lijari na atakuwa mshindi kwa %90
 
Maajabu yapi? Miradi yote mikubwa imejaa ufisadi wa kutisha kuna 10% za wajanja wachache pesa ya walipa kodi inazunguka inamrudia mwenyewe kwani idadi kubwa ya makampuni yaliyopewa Tenda ni yake ya ndugu zake na rafiki zake, hakuna maendeleo yeyote mapya kwani vingi vilianzishwa na kikwete yeye kaviendeleza kwa kodi za watanzania siyo pesa zake binafsi tokea mfukoni
10% ya babu yako?
 
Jiwe hatakwi watu hawana furaha.
IMG_20201008_210116.jpg
View attachment 1594776
 
Sijui ni kujifariji au kujidanganya au kujitia upofu.

Unasema mkuu angepunga mkono tu, mbona hakupunga huo mkono?

Nadhani figisu zote zinazoendelea kama kuenguliwa wagombea, tume na kupendelea upande mmoja, Lissu kubugudhiwa n.k mnaziona.

Kama mnakubalika kiasi hicho kwa nini nguvu kubwa itumike? Kamapeni zenu zimekuwa maigizo tu na hakuna uhalisia watu wanaudhuria kwa wingi kwa ajili ya wasanii au usafiri wa bure na posho kidogo.

Niko mkoa fulan, wilaya fulani wakati mkuu anakuja watu huku wilayani kwa maelfu walisombwa na mabasi kwenda town kujaza uwanja, sasa najiuliza nguvu yote ya nini kama mnakubalika?

Najua kama una akili timamu unajua kabisa nini kinaendelea, nadhani ni maslahi binafsi ndo yanakufanya ujitie upofu, ila ukweli mnaujua na uko wazi.
Kaka hakuna anaelazimishwa kwenda kwenye mikutano Ila sio dhambi wadau kuwaandalia watu usafiri
 
Back
Top Bottom