Amani Msumari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,830
- 972
- Thread starter
- #41
Magufuli amejitahidi sana kudhibiti mfumuko wa bei. Baadhi ya vitu kama sukari vinafanyiwa hujuma na baadhi ya wafanyabiashara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapinzani wangapi wametangazwa kaka? Halafu kama tume haiko huru na itawatangaza wagombea wa CCM ni kwanini wapinzani wanashiriki uchaguzi huu? Simngeugomea?Hata ww ungekuwa mgombea wa ccm ungeshinda tu bila shaka au unhetangazwa mshindi....ushindani wa siasa Tz utakuwa ni siku mfumo mzima wa NEC ukibadilishwa yani tume iwe huru kabisa
Unahaki zoteMimi pia nitamchagua Rais Magufuli kama watakavyofanya Watanzania wengi.
Unakumbuka wakati anaingia madarakani sukari ilikuwa bei gani na sasa hivu ni bei gani mkuu?Magufuli amejitahidi sana kudhibiti mfumuko wa bei. Baadhi ya vitu kama sukari vinafanyiwa hujuma na baadhi ya wafanyabiashara
Tell herUnakumbuka wakati anaingia madarakanj sukari ilikuwa bei gani na sasa hivu ni bei gani mkuu?
"Her" kumbe ni she na sio heTell her
Tayari ICC ina list yote ya Polisiccm wanaoshiriki vitendo vya uonevu unyanyasaji kwa wapinzani mara baada ya uchaguzi watafikishwa ICC The Hague akiwemo IGP mwenyeweNa hizi figisu figisu za tumeccm na polisiccm sioni ushindi halali ni wizi tu! Lazima pachimbike na vikwazo vya kiuchumi vya BEBERUS kama KAWA.
CCM bila uchakachuaji bila wizi wa kura bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm ni weupe sanaNothing can defeat JPM than God.
Hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu ataipigia kura CCM bali wale wanufaika wa mfumo kandamizi mfumo wake wa udikiteta, wasaka uteuzi kama akina Tumbili kafulila na wenzaoUshauri kwa wafuasi wa Tundu humu ndani mkaombe uwakala kwenye chama cheni mshuhudie atakavyopata kura0
Sio mkae ndani halafu mkishindwa mtafute sababu
Maajabu yapi? Miradi yote mikubwa imejaa ufisadi wa kutisha kuna 10% za wajanja wachache pesa ya walipa kodi inazunguka inamrudia mwenyewe kwani idadi kubwa ya makampuni yaliyopewa Tenda ni yake ya ndugu zake na rafiki zake, hakuna maendeleo yeyote mapya kwani vingi vilianzishwa na kikwete yeye kaviendeleza kwa kodi za watanzania siyo pesa zake binafsi tokea mfukoniAtashinda kwasababu ametutendea maajabu watanzania
2810 tukutane hapahapa kupeana pole na kupongezanaHakuna Mtanzania mwenye Akili timamu ataipigia kura CCM bali wale wanufaika wa mfumo kandamizi mfumo wake wa udikiteta, wasaka uteuzi kama akina Tumbili kafulila na wenzao
Deni la taifa limezidi kuwa kubwa zaidi kwenye utawala wenu wa uonevu unyanyasaji kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani, hakuna unafuu wa maisha kwani miaka mitano bila nyongeza za mishahara kwa watumishi wa umma ni kilio kisicho na msamahaMagufuli amejitahidi sana kudhibiti mfumuko wa bei. Baadhi ya vitu kama sukari vinafanyiwa hujuma na baadhi ya wafanyabiashara
2020 ipo kivingine CCM bye bye hakuna mabaya yasiyo na mwisho, walikuwepo akina Bokasa, Gadafi , Sadam Hussein, Abacha, chiluba, mabutu, Elbashiri wa Sudan, Iddy Amin dada leo hii wapo wapi?2810 tukutane hapahapa kupeana pole na kupongezana