Amani Msumari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,830
- 972
Nimejiandaa kiongozikila anayetamani kutukanwa jukwaani hasa jf, anatakiwa kuwa na maono yako, umejiandaa?
Siamini kama kuna mtu mwenye akili timamu anaweza kuchagua jitu katili namna hiikila anayetamani kutukanwa jukwaani hasa jf, anatakiwa kuwa na maono yako, umejiandaa?
Pamoja na watanzania wengine wanaojielewa na wenye uchungu na nchi hiiUtamchagua wewe na familia yako
Ni wale majizi ndiyo watamchaguaPamoja na watanzania wengine wanaojielewa na wenye uchungu na nchi hii
Hiyo n maneno mbofumbofuSiamini kama kuna mtu mwenye akili timamu anaweza kuchagua jitu katili namna hii
Siku akimbambika kesi ya uhujumu uchumi ndugu yako ndiyo akili zitarudiHiyo n maneno mbofumbofu
Ni MAZWAZWA tu Mkuu.Siamini kama kuna mtu mwenye akili timamu anaweza kuchagua jitu katili namna hii
Na hizi figisu figisu za tumeccm na polisiccm sioni ushindi halali ni wizi tu! Lazima pachimbike na vikwazo vya kiuchumi vya BEBERUS kama KAWA.akishinda kihalali sawa, la sivyo patachimbika Lissu huwa hakubali kuonewa
Ushauri kwa wafuasi wa Tundu humu ndani mkaombe uwakala kwenye chama cheni mshuhudie atakavyopata kura0akishinda kihalali sawa, la sivyo patachimbika Lissu huwa hakubali kuonewa
2025 wapinzani wote wakakua wameshaunga mkono kurudi za Rais John Pombe MagufuliCCM kwa mara nyingine inashinda uchaguzi huu kwa ngazi zote Urais, Ubunge na Udiwani. Vyama vya upinzani vijipange upya kwa ajili ya uchaguzi wa 2025.