Zikiwa zimebaki siku 3/4 KUELEKEA send-off na wedding ceremony, Nitakuwa offline muda wowote kuanzia Sasa

πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚ ovyo sasa huko fungate unaenda kufanya nini siku 14 zote izoo wakati bi**kra haipo mda mrefu fungate ni kwa wanawake wote ambao hawajai kukuta ki mwili

Hahahaha fungate sio utelezi tu
 
Kwa hiyo roraa reree umegoma kutoa neno🀣🀣
Ujue nakusubir ww ni log out πŸ˜‚
min -me na Labella hakikisha nimepata neno kutoka rora nataka ni log out banaπŸ˜‚
 
Kari
Hongera...amani ikatawale nyumba Yako.
 
Tunaweza kukutana kwa ajili ya farewell game??
But surely I'll miss you mrembo wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…