Zikiwa zimebaki siku 3/4 KUELEKEA send-off na wedding ceremony, Nitakuwa offline muda wowote kuanzia Sasa

Zikiwa zimebaki siku 3/4 KUELEKEA send-off na wedding ceremony, Nitakuwa offline muda wowote kuanzia Sasa

Nyamwi255 hongera sana mamii...karibu chamani..huku hakuhitaji hasira...pia wasikudanganye watu kuwa huku ni vita ukajindaa kwa mapanga..huku njoo na moyo mweupe tuuu..ndoa ni yako na ya mume wako..sio ya watu wengine..ndoa hazifanani so huwezi kucopy ndoa ya mtu mwingine eti uka ipaste kwako...kila la heri...
 
Back
Top Bottom