Ziko njia sahihi za kuingiza kipato mtandaoni

Qzam

Member
Joined
Mar 5, 2023
Posts
26
Reaction score
23
Habari za asubuhi na hongereni kwa majukumu ya utafutaji.

Kumekuwa na mijadala mingi sana huu ya pesa mtandaoni. Na kuna baadhi wametoa shuhuda jinsi wanavofanikiwa kwa njia mbalimbali za mtandaoni.

Mtandaoni kuna pesa kikubwa upate njia sahihi za kufanya, tuache woga wa uthubutu na kuziba masikio kusikiliza wakatisha tamaa.

Kumbuka ukisita wenzio wanasonga mbele.

Nawasilisha.
 
Hizo njia ni zipi na sisi tupige huko hela
 
Habari za asubuhi na hongereni kwa majukumu ya utafutaji.

Kumekuwa na mijadala mingi sana huu ya pesa mtandaoni. Na kuna baadhi wametoa shuhuda jinsi wanavofanikiwa kwa njia mbalimbali za mtandaoni.

Mtandaoni kuna pesa kikubwa upate njia sahihi za kufanya, tuache woga wa uthubutu na kuziba masikio kusikiliza wakatisha tamaa.

Kumbuka ukisita wenzio wanasonga mbele.

Nawasilisha.
Nakubali nilikua siamin online lakin nilipopewa mchongo wa maaan now nina uhakika wa 2M per month mamb yakiw mazuri mpaka 4M
 
Mkuu kwann usiwekhadharani no za cm x nn ten au Ndo fursa..ok my be na ww ni menta
 
C uzitaje ,au Nazo ni connection

Back
Top Bottom