Qzam
Member
- Mar 5, 2023
- 26
- 23
Habari za asubuhi na hongereni kwa majukumu ya utafutaji.
Kumekuwa na mijadala mingi sana huu ya pesa mtandaoni. Na kuna baadhi wametoa shuhuda jinsi wanavofanikiwa kwa njia mbalimbali za mtandaoni.
Mtandaoni kuna pesa kikubwa upate njia sahihi za kufanya, tuache woga wa uthubutu na kuziba masikio kusikiliza wakatisha tamaa.
Kumbuka ukisita wenzio wanasonga mbele.
Nawasilisha.