Zile ajira za walimu 13,000 zimeyeyukia wapi?

Zile ajira za walimu 13,000 zimeyeyukia wapi?

Teleza1

Senior Member
Joined
May 16, 2020
Posts
190
Reaction score
198
Mwezi wa 9 serikali ilitangaza ajira za waalimu zipatazo 13,000. Lakini mpaka sasa hakuna kitu chochote kinachoendelea TAMISEMI imekumbwa na nini.

Zimebaki siku 4 hakuna mtumaini yeyote na uchaguzi ukishappita tusitegemee ajira kutoka serikalini wakati zikiwa zinebaki siku 3 watu wapige kura vijana wa kike na wa kiume wazee, mama zetu , daa zetu tujikumbushe yafuatayo kabla hatujaenda kupiga kura
1.kikotoo cha wafanyakazi
2.maisha magumu yaliosababishwa na wao
3.wahanga wa ajira sekta zote
4.kuvurugwa kwa sekta ya kilimo mfano pamba korosho na tumbaku
5uhuru wa kujieleza na uhuru wa kupata habari
6Utawala wa kuuana na kutishiana.
Meisho turudishe Raisi wa wa wananchi na sio Raisi wa vyombo vya dola
 
Mwezi wa 9 serikali ilitangaza ajira zawaalimu zipatazo 13,000. Lakini mpaka sasa hakuna kitu chochote kinachoendelea Tamisemi imekumbwa na nini.

Mwenye taaarifa sahihi atujuze.
Ni changa la macho. Solution Kama hamjaziona hizo ajira Hadi tar 27.10.2020. basi msisite kuamka mapema tarehe 28.10.2020 kwenda kufanya Jambo lenu.
 
Mwezi wa 9 serikali ilitangaza ajira zawaalimu zipatazo 13,000. Lakini mpaka sasa hakuna kitu chochote kinachoendelea Tamisemi imekumbwa na nini.

Mwenye taaarifa sahihi atujuze.
Bado zinachakatwa tar 25 majina yanatoka, kuriport kuanzia tar 2 Nov tunaanza kulipot
 
Hata wakiona ni kazi bure, twendeni tukamtoe dikteta
Bado zinachakatwa tar 25 majina yanatoka, kuriport kuanzia tar 2 Nov tunaanza kulipot
Hamna kitu kama hicho hizi ajira hazipo kabisa zilitangazwa tuuu kwa sababu ya maslahi yao.kiufupi ni kwamba serikali haina pesa kabisa na kama italazimika kuajiri hawatozidi watu 800. Source kutoka Tamisemi yenyewe
 
Back
Top Bottom